Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
mkuu hii issue ilikuwa ndani ya box ilikuwa swala la common sense kwa refa lakini kama kawaida tunaheshimu matokeo n we r moving on.rematch tutashinda kwa kishindo kikubwa tu wala sina wasi wasi.Thanks Graham, you've explained it very well....Same old Hypocrite Arsene Whinger lazima alalame ikiwa against kwake lakini anasema hajaona ikiwa imempa favour.
Inapokuwa indirect free-kick refa anatakiwa kuweka mkono juu mpaka pale mchezaji wa pili (aliyepasiwa) anapogusa mpira.hivi hapo refa kanyoosha mkono juu kwa ajili ya nini? manake mpira ulikuwa tayari uko kwenye play au aliona goli kabla? mwenye kujua zaidi anaimbie huo mkono wa refa uko juu kwa ajili ya nini hapo? kama foul kupigwa ishapigwa ndio iko kwa mfungaji ,sasa yeye mkono juu wa nini?
Mko kwenye hali nzuri maana tayri mna goli la ugenini na mazingira ya Emirates yatawabeba.mkuu hii issue ilikuwa ndani ya box ilikuwa swala la common sense kwa refa lakini kama kawaida tunaheshimu matokeo n we r moving on.rematch tutashinda kwa kishindo kikubwa tu wala sina wasi wasi.
wakujilaumu ni sisi wenyewe huyo refa namtakia kila la kheri world cup manake nimeona jina lake kule lol.
Hamna madhara nyieNaam tena kichapo cha MANU ni motivation kubwa sana ili kupunguza gap na kubakisha 2 points tu.
tunahitaji la pili sasa
Arsenal 2, albeit from a cheap penalty!!
i will take the penalty mkuuu si tumelipiwa hile ya rosicky juzi au? sio mbaya jamaa kamuingilia njia sio.Arsenal 2, albeit from a cheap penalty!!