Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Haya sasa mtanange ndio umetayarishwa na Arsenal imepangwa kwenye kundi F. Timu zingine kwenye kudi hilo ni pamoja na Olympiakos, Dinamo Zagreb na mahasimu wao Bayern Munich.

Arsenal mapeema wanafungasha virago
 
..get prepared for a panic buy, sioni namna gani tutaweza mpata either benzema or cavani kwa huu muda uliobaki
#noway!
 
Hiivii huyu anayepangaga droo za UEFA anaichukia sana Arsenal eee...ilibidi aamishiwe Baclays ili aishushe daraja kabisa tupumzike
 
Itabidi Arsenal tuwanunue Bayern Munich sababu tunapangiwa na hawa wadudu karibia kila msimu. Utadhani UEFA wana kisirani fulani na sisi. Anyway, msimu huu itabidi tuwafanyie kubwa tuwapige ubaya kwao na kwetu, tumfukuzishe kazi Guardiola.

una matumaini kijana!' kha!' ungeelekeza hayo matumaini kwenye kusaka pesa!' nauhakika mpk sahivi bharesa au mengi angekua anasubiri ............
 
..unajua tulipoanzia au unadandia tu,vyema ukasoma kwnz hizo post za juu uelewe sio unakurupuka tu.Mi hapa naizungumzia arsenal nayoishabikia huyo mwenzio ameifata arsenal huku asiyoishabikia,ndio tofauti ndogo iliyopo.

Pheeeww!

Karibu jukwaa la michezo. Hapa jukwaani hakuna mipaka, ni ruhusu kuingia ndani hadi chumbani kwa jirani, ilimradi usivunje sheria za mwenye nyumba tu.
 
Pheeeww!

Karibu jukwaa la michezo. Hapa jukwaani hakuna mipaka, ni ruhusu kuingia ndani hadi chumbani kwa jirani, ilimradi usivunje sheria za mwenye nyumba tu.

..hope umenielewa anyway..
 
Dunia inaazimisha miaka minne ya mauaji ya 8-2 yaliyotokea Old Trafford tarehe kama ya leo 28/08
 
EUFA nafasi ya 2 then tunapangwa na Barca out..........

Unasahau Bayern lazima tuipige kwao, halafu kwetu watuchape, hio ni ka draw, then tuchape hizo team zengine tuwe mbele na mabao. Tupewe PORTO!
 
Unasahau Bayern lazima tuipige kwao, halafu kwetu watuchape, hio ni ka draw, then tuchape hizo team zengine tuwe mbele na mabao. Tupewe PORTO!

Bayern afungi 1 au 2 anapiga 6 au 5 sasa frwd yenu haipendi hayo mambo
 
Bayern afungi 1 au 2 anapiga 6 au 5 sasa frwd yenu haipendi hayo mambo

..wakimuotea mwepesi ndio wanampiga hizo 6 au 5,bayern wanatufahamu vzr tulishawahi wapiga kwao, km tungekua wabovu kiivo c wangetupiga hizo 6.! game zote mbili asenali na bayern kwangu naziona 50/50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…