Mkuu uko america nn? habari za asubuhi wenzio huku saa 8 mchana dsm jua kaliii..!
Tukirudi kwa asenali na wenga wetu kiukweli mi nishamchoka huyo mzee.Kwann anasubiri mpk dkk mbaya kama hizi ndio aanze kuleta habari za kumsajili mshambuliaji na kiungo mkabaji.?toka msimu uliopita kila mwenye macho alikua anaona mapungufu ya arsenal,mpk wachezaji wenyewe wakawa wanasema wanahitaji kuongezewa nguvu (refer cazorla), but wenger kama kawaida yake ni kutia pamba masikioni tu.
Leo ligi imeanza mechi ya tatu tumeshaachwa pointi 5 na gd 9 na mancity,hata kama tutajidanganya bado mapema ukweli ni kwamba arsenal haina ubora wowote wa kushindana na mancity na chelsea msimu huu labda itokee miujiza.
i think wewe ni shabiki wa man U;afterall sijaizungumzia timu yako coz haina hata identity,hamfungi magoli,mpira uwanjani haueleweki,mpo mpo tu pamoja na usajili wa mapesa mengi mliofanya last season hamna timu yoyote mliyojenga,nawahofia kwenye champions league nawaona kbs mkitoka kwny makundi muende europa.
Yes; mi ni shabiki wa arsenal ila pamoja na hayo siwezi jitoa akili niseme arsenal watakua mabingwa come may this season,big No.
Hapana mkuu, nilipokuwa naandika wakti ule huku nilipo ilikuwa ni asubuhi.
Sasa napenda kuwahakikishia kuwa Arsenal watafanya usajili ila itakuwa ni kati ya Ijumaa na jumanne ijayo.
Meneja mwenyewe Wenger amesema kwamba Arsenal wapo sokoni na akipatikana mchezaji mwenye ubora unaotambulika basi watasajili.
Wenger ameishagundua kwamba Arsenal safari hii watapata tabu sana kushinda mechi zote iwe na timu za kawaida au zile kubwa kama Man City.
Ila meneja mzee Wenger ana tatizo na upangaji wa timu na hii imeonekana kwenye meci zote tatu zilizokwishachezwa.
Timu inayotakiwa kuwa inaanza mechi zote za ligi kuu ni ile timu ilianza kuceza mechi na Chelsea kwenye kombe la ngao.
Yaani Walcott anatakiwa aanze mbele, Oxdale Chamberlain pembeni, Ozil namba 10, Cazorla katikati akipanga vyumba. Nyumba kunakuwa na Ballerin kulia na Monreal kushoto. Kati Mertesacker na Cosy.
Tuna mechi ngumu zinakuja na tunaanza na Newcastle, halafu Stoke, Chelsea na Tottenham Hotspur.

..."shida tuliyonayo sisi ni holding midfielder,centre forward na centre back.."
you are spot on brother...
now unadhani Wenger anaweza jaza hizo nafasi tatu kwa muda uliobaki ili arsenal ilete ushindani? km hatasajili maana yake nn....
Last season mwz wa 10 au 11 tulishaondolewa kwny mbio za ubingwa,this season again wont make any difference it will be the same.Mechi tatu za kufungua msimu tyr hakuna anayeifikiria arsenal kuhusu ubingwa.
#yeswengerisnaive! anajiona yy ndio anajua zaidi ya dunia nzima..damn..
#wengerout!
Kaka unahasira ila mzee ulivyo p anaweza asisajili kabisaa yaan
Ile ishu ya benzo nilisikia itakua juma nne vp bado? Au j4 ya msimu ujao?
Hahaaaaa, soka safi? Basi thawa endeleeni kucheza soka safi sisi tunakusanya point tu, kumbe mna point ngapi vile??
Kuhusu champions league we kaa kimya tu mkuu watu watakucheka,
..timu yenu imeonekana kidogo na kaunafuu baada ya kupewa hao wabelgiji,mpk vipofu wamefunga hat trick ngoja mrudi kwa wanao jua.!!
...eti walifika robo fainali ya europa hahaaaa,kweli mmecheza na bonge la timu..!!tuna point 7 za kwenye ligi au nayo ligi ni ya ubelgiji?
hao wabelgiji walifika robo fainali ya Europe league, vp livapuli na Everton wanaocheza ligi ngumu walifika wapi?
...eti walifika robo fainali ya europa hahaaaa,kweli mmecheza na bonge la timu..!!
Kaa tulia, jiulize westham walikutandikaje zile mbili, ukiendelea kuiwaza utd utazidi kuumia tu, na unachokitaka hakitokei,
Ukiona maumivu yanazidi muone huyu
Kaa tulia, jiulize westham walikutandikaje zile mbili, ukiendelea kuiwaza utd utazidi kuumia tu, na unachokitaka hakitokei,
Ukiona maumivu yanazidi muone huyu
ss wakumtuliza mwenzie nani.. nadhani hii ni arsenal special thread,em jiulize unafanya nn huku.!!