Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Sasa huo ndio mpila safi wewe jitahidi uitambue time yako tu
 

Hapana angalia game ya mwisho second half unakumbuka mzee alifanya kitu gani tukawa tunaonekana tuna striking force kubwa japo forward yetu ilikua hovyo?? Ndio maana nakwambia shidaa ni centre forward tu si kitu kingine
 
Kupigwa home au away EPL kwa siku hizi ni kitu cha kawaida, mbona chelsea kwa Swansea alipimulia machine?
 
Me humu naanza kuhesabu majeruhi tu maana kuna mtu nilimwambia ao players wake wengi ni wagonjwa asidanganyike na pre season matches. Nadhani muda kidogo arsenal itarudi kule kule

Hakuna timu haipati majeruh msiwe wepes kukata tamaa angalien mpila wazee
 

Unajua kiungo mkabaji anajiamini kufanya anachofanya ikiwa forward INA impact kubwa mfano ozil unafanya kazi kubwa lakini huwez kuona kazi yake sababu forward hana impact
 
Sisi tuwaofie waatoto wa pelegreen na swansee baaasi wengine hawana impact kubwa
 

holding midfielder,centre forward na centre back..hao watu lzm waje arsenal km kweli tunataka ubingwa kwa kushindana tuongoze ligi na sio kusubiri wengine wateleze.
Umeizungumzia barca pamoja na kwamba unasema wana posess sn mpira ndio inawasaidia kujilinda but tazama last season MNS wamefunga goli zaidi ya 100,kwani siku ile tukipigwa na westham emirates hatukuwa tumewazidi possession? issue ni kwamba timu lzm iwe bora no matter mna possess au vp.Km wenger angesajili kiungo mkabaji mapema na striker leo tungekua tunazungumza mengine kbs,tatizo yule mzee ni mbishi..keep on doing same thing expecting different results
#lunatic!
 
Kupigwa home au away EPL kwa siku hizi ni kitu cha kawaida, mbona chelsea kwa Swansea alipimulia machine?

fighting spirit..ht km tunapigwa angalau tuoneshe tulipambana,sio kupigwa kwa namna ile tuliyopigwa na westham..
 

Kaka believe me centre forward kwanza na akishuka Leo au kesho hutaona hiyo shida ya nyuma na kati
 

Angalia game ya mwisho second half ilikuaje n tatizo lililo onekana wazi ni centre forward ikafikia wakati kina cazora na Ramsey wakawa wanajaribu kupiga nje ya box kumbuka
 
Angalia game ya mwisho second half ilikuaje n tatizo lililo onekana wazi ni centre forward ikafikia wakati kina cazora na Ramsey wakawa wanajaribu kupiga nje ya box kumbuka

tusijiliwaze na perfomance ya second half dhid ya liverpool. mzee wenger ana mengi ya kufanya kuhakikisha arsenal inacompete for major trophies. i suggest aanze kuifuma timu kuanzia nyuma, siku hiz watu tunaangalia gemu za arsenal kama adhabu shehe! roho juu juu muda wowote kibanda kinaungua! pathetic Wenger! Aaaarghhhh
 

Kaka unahasira ila mzee ulivyo p anaweza asisajili kabisaa yaan
 
Kaka unahasira ila mzee ulivyo p anaweza asisajili kabisaa yaan

..yap; kuliko akurupuke hizi siku chache zilizobaki aende kutuokotea kifaa kisichojulikana, bora aache kabisaaa coz nishamzoea ni kichwa ngumu..
 
profesa wenger anazeeka vibaya mkuu. nadhan he has got something in common with professor Lipumba.

Yani mpaka sasa nashindwa kuelewa what makes him relax yani huyu mzee daa huangalii game ya arsenal bila mvinyo kichwani inakeraaa huyu mzeee kummamakkkkkke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…