Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Alifanya hiyo medical??? Jana Jesse ndo kacheza kama Number 9 na siyo Ronaldo.
 
This is probably the most flagrant piece of transfer nonsense we've seen this summer
 
Alifanya hiyo medical??? Jana Jesse ndo kacheza kama Number 9 na siyo Ronaldo.
Wakati akiwa hotelini jijini London na akijitayarisha kwenda kwa Wenger, Benzima alipigiwa simu na Mourinho kwa maongezi mafupi.

Fatilia kwa makini taarifa hizi na zitamfikieni pale zitakapopokelewa katika chumba cha habari.
 
Alifanya hiyo medical??? Jana Jesse ndo kacheza kama Number 9 na siyo Ronaldo.

Hbari zinafichwa sana, hakucheza hio mechi na wanasema alikuwa ameumia misuli ya paja.

Halafu wansema leo ameanza mazoezi mepesi, na anajiandaa kwa mechi na Real Betis jumamosi.

Barnabeu ni sehemu ngumu sana kuielewa, kwani hata medical ya Ozil ilifanywa Germany kwenye hoteli.

Hivyo tusubiri tu zimebakia siku chache.

Kumbuka ni utamaduni wa Arsenal kutozitoa rasmi taarifa za usajili kwa malengo fulanifulani, mpaka pale makubaliano ya malipo yanapokuwa yanafanywa.

Hapo ndio utasikia "Arsenal in talks with ......to sign.....from...."
 
Nah Leo ndo leo
 
Nafanya kazi jirani na Emirates Stadium nimemwona agent wa Benzema akiwa na mkurugenzi wa Arsenal wakiingia klabuni
 
Nafanya kazi jirani na Emirates Stadium nimemwona agent wa Benzema akiwa na mkurugenzi wa Arsenal wakiingia klabuni

Aisee kwahyo yupo njiani?
 
Attachments

  • 1440435077691.jpg
    40.2 KB · Views: 169
Reactions: Nzi
Kikosi cha leo...Cech, Nacho, Chambers, Paulista, Ramsey, Coquelin, Giroud, Sachez, Oezil na Carzola...hofu yangu ni hao mabeki wa kati tu
 
Hii line-up siielewi:
Arsenal XI:-Cech, Bellerín, Gabriel, Chambers, Monreal, Coquelin, Cazorla, Ramsey, Ozil, Sanchez, Giroud-
 
Aisee kwahyo yupo njiani?

Duh!

"For all those clowns who want to make believe things at my fans. Here this is my home !"

Kwa hiyo akina rubaman ni clowns
😂😂😂😂😂
 
Last edited by a moderator:
Hii line-up siielewi:
Arsenal XI:-Cech, Bellerín, Gabriel, Chambers, Monreal, Coquelin, Cazorla, Ramsey, Ozil, Sanchez, Giroud-

Wenger kawaza nini mpk kaamua kuwapumzisha mert na kosc,ni spidi ndio hawana au..Chambers...let's wait and see ila game kama hii sipendi majaribio..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…