Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hakuna usahihi ktk maelezo yako. Kwa hiyo unataka kunambia ukuta ni optional kwa refa kuamua? Sasa pale kuna tofauti gani na penati?
Law 13 - Free Kicks

As soon as a free kick is given against his team a player shall run immediately to stand in front of the ball. A player shall be allowed to kick, throw or carry the ball away if he feels that his defence is not ready for the attacker's free kick. If a team take the option of a quick free kick and it goes wrong, or they lose possession to an opponent who was within 10 yards, then play shall be stopped and the kick is retaken. The referee will raise his arm above his head at free kicks as a signal to stop the kick being taken.
 


The Arsenal starting XI line-up in Estadio do Dragao ahead of the crunch European clash.

Vijana walicheza soka safi lakini mambo hayakuwa mswano
Wachumba wa Fat Arse kabla ya kuchezea kichapo!
 

Source please.

Wakti naendelea kusoma Rules za FIFA zilizopitishwa na TBS, labda nianze kupoint mashuzi ya huyu refa.

NI wazi hiyo sheria haikufuatwa. Maana Sol was blocked by ref..about 1-2 metre from the free-kick taker.
 
Haya ndugu zanguni nasikia mmepiga mbizi kwenye lami....
Kwi kwi kwi kwiiii ''kicheko cha chinichini huku nimejiziba mdomo.''
 
Source please.

Wakti naendelea kusoma Rules za FIFA zilizopitishwa na TBS, labda nianze kupoint mashuzi ya huyu refa.

NI wazi hiyo sheria haikufuatwa. Maana Sol was blocked by ref..about 1-2 metre from the free-kick taker.
It's not uncommon play, even Fabregas angeweza kufanya hivyo:


Haya nendeni mkakojoe mlale, captain wenu ameshakubali kwamba hakuna shida na goli, maana hata yeye angetake the same advantage, mjadala umefungwa.
 
It's not uncommon play, even Fabregas angeweza kufanya hivyo.


Mkuu Fab sio SI unit.

Hoja ambayo nimeisoma kwenye forums za wapenda soka ni kwamba refa aliitengezea nafasi Porto ya kufunga ambayo ni dhahiri zaidi hata ya penati bila justification, nafasi ambayo mwanzo haikuwepo. Huu ndio msingi wa kuekwa sheria za kuilinda soka, kwamba soka isionekane ni mchezo wa kukomoana, bali mwenye kosa aadhibiwe kulingana na ukubwa wa kosa lake.
 

Wacha kuua inzi kwa nyundo bana nimesema muonee huruma tu aarghhhhhhhhhhhhh.
 

Unaposema refa katengeneza nafasi sikuelewi hata kidogo maana tunajua kipa hapaswi kudaka back pass hilo ni kosa lao wenyewe wala wasimbebeshe refa. Once again, kucheza quick free kick sio kosa, you have two options: quick free kick au usubiri ukuta. Arsenal wamefanya sana hizi for years, leo wanalia kwa sababu imetokea kwao....nimefurahi Fabregas amekuwa honest kusema hivyo na anajua sio kosa.
 

Source: http://www.telegraph.co.uk/sport/fo...eree-Martin-Hansson-of-a-massive-mistake.html

Free kick rule

There is no need for the referee to blow his whistle for a free kick to be taken; a player must simply get the approval of the match official to restart play.

Whether the attacking team has been too quick is purely for the discretion of the referee. Arsenal themselves have previously benefited from quickly taken free-kicks, most notably when Thierry Henry scored against Chelsea in 2004.
 
wakuu kwanza salam kwa wote na kwa washabiki wenzangu siwezi kusema pole kwa kufungwa kwani naona kama tumejifunga wenyewe leo.

Nashukuru ni 2-1 manake kama wale Porto wangekuwa wazuri basi leo tungelambwa hata 5 wakuu.fabianski naona alikuwa anaogopa golini yale blunder kweli kama alivyosema fabregas ni ya kitoto mno.

clichy uchochoro na ananitisha sana.Campbell asante sana kwa goli sema mkuu inabidi akaze sana buti kwenye mazoezi ni mzito mno na kwa umri wake bora aende marekani kucheza MLS speed ya game haiwezi mpaka niliogopa anaweza kudondoka.

Refa kama ingekuwa mchangani leo angeondoka bila meno.

Kwa ujumla leo tulikuwa wabovu sana na pasi zetu m,bovu kupita kiasi.tulikuwa tunapoteza mpira bila kuwa under pressure.

Next tukiwa full nondo tunashinda vizuri bila wasi wasi kabisa thanks to away goal by Campbell.
 
mkuu nakubaliani lakini ndani ya box kama vile refa pale kachemsha na yeye mwenyewe wala hakuwa anatizama ilivyo pigwa hile ni blunder kubwa kafanya.sasa si bora hiwe penati kama kipa akidaka back pass kwa style hile?
 
Mkuu Abdulhalim,
Soma hii kutoka kwa Graham Poll a retired Premeirship referee:
Source:http://news.bbc.co.uk/sportacademy/hi/sa/football/features/newsid_3409000/3409567.stm

 
mkuu nakubaliani lakini ndani ya box kama vile refa pale kachemsha na yeye mwenyewe wala hakuwa anatizama ilivyo pigwa hile ni blunder kubwa kafanya.sasa si bora hiwe penati kama kipa akidaka back pass kwa style hile?
Soma hapo juu maelezo ya Graham Poll.
 

Ni kweli hujanielewa. Maelezo yako yanajitosheleza.

Ni hivi.. free kick inapigwa kulingana na kosa, hilo lipo wazi. Faulo ya kipa kudaka mpira wa kurudishiwa adhabu yake ni indirect free-kick ambayo timu pinzani hujipanga kuweka ukuta...na adhabu yake sio penati. Kwa kitendo alichokifanya mwamuzi cha kuwahisha freekick kupigwa kabla ya ukuta ni udhaifu, na hivyo kuizawadia Porto nafasi ambayo ni zaidi ya adhabu ya penati.

Suala la kupiga free kick haraka kwa mpigaji hilo sio kosa kwa upande wake, ndo maana Fab akasema huenda ingekuwa yeye angefanya ivoivo. Mwamuzi ndio mwenye dhamana ya kuruhusu au la na ndiye msimamizi wa haki na sheria. Yeye ndo analaumiwa..

Nadhani sio ngumu kueleweka sasa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…