Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kweli ukikubali kuolewa sharti ulale bila nguo
Hahahahahahaha diamond anakuambia Sankoro...sankororo... chai kama Ronaldo
Mijezi kama pambaika
 

hahaaaaaaaa...kweli mwaka huu mtanyoa
 
Hii naona inaweza kuwa kipigo kizuri, dirisha la usajili bado halijafungwa, wenger adungue macho kuwa O.G na Walcott sio washambuliaji wa kufunga 25+ goals a season, ila top four ya nne bado ipo.
 
Timu bado sana Wenger inabidi akamilishe usajili wa DM na mshambuliaji very soon.

Goli la kwanza ni kosa la Cech na Kouyate akajifungia goli kiulaini akidhani Kouyate ametoa nje.



Goli la pili ni kosa la Coquelin na akamwachia Zarate apige shuti umbali wa mita 30!

~

Coquelin akimwangalia Zarate anapiga shuti. Hapo wote Coquelin na Cech wana makosa ya kiufundi utashindwaje kumuona Zarate anajipanga na anaachia kombora mita 30 kweli!.

Mzee Wenger aache kututania kwani pesa tunayolipia tiketi ni nyingi sana.

~

Hakuna muda wa kuwaza unafahamu ni wachezaji gani tunahitaji ingia sokoni fanya manunuzi.
 
D.M hawapo tena, mpaka mwakani, labda a panic buy! Morgan fit the bill ila ndo keshachukuliwa, ILA ni mapema sana, ndo mechi ya kwanza ila ni reality cheque kuwa kikosi sio bora sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…