Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Back pass kwa kipa unategemea nini kwa refarii? Foul ......Fabiansk angekuwa na akili asingekabidhi mpira ule kirahisi wakati anaona hawajaweka ukuta. Nina hakika Jens Lehmannhttp://rds.yahoo.com/_ylt=A1f4cfsza...zc3rTet8aWWGUqAAAAA%40%40&fr2=sp-qrw-corr-topangeupiga mbali na angelamba kadi ya njano....nyie watoto mtakuwa lini???
Sio lazima mkuu! Unaruhusiwa kufanya quick free-kick kama unaweza. Magoli ya hivyo yamefungwa mengi tu hata EPL kama utakumbuka Henry, Giggs, .......ni jukumu la timu inayozuia kuhakikisha hawatoi nafasi kwa faulo ya haraka hili wajipange, wanaoshambulia ndio wanapewa advantage. Arsenal have just eaten their own medicine, if you remember Henry against Chelsea.
Tushakuzoea wewe bana...lol
..and for the record. Fabianski na Campbell screwed Gunners' FA Cup dreams. and 2day they did it again.. Ha ha ha..
Juma Kaseja na Fabiansk nani bora? hahahahahahahh alikuwa anadaka panzi ? goli la kwanza lol!
Juma Kaseja na Fabiansk nani bora? hahahahahahahh alikuwa anadaka panzi ? goli la kwanza lol!
Nitarejea hapa siku ya mazishi kukwoti maneno yangu menyewe na kuyapigia mstari..he he he..Weka rekodi kadri unavyoweza ila...
Tushakuzoea wewe.........lol
Nitarejea hapa siku ya mazishi kukwoti maneno yangu menyewe na kuyapigia mstari..he he he..
...ambako hakatapatikana....Tunahitaji kagoli kamoja bila tu
Poleni sana safari hii mnaishia round hii! Maana Emirates jamaa watapiga counter attack kupitia kwa Gael Clinchy
...ambako hakatapatikana.
Arsenal haina historia ya kuperform under pressure.