Tatizo lako harrera dogo sana na litakwisha kama si kuhama makazi kabisa watu wako serious
yaani mashabiki wa arsenal mnanishangaza sana wanaoijua arsenal wamekaa kimya ila wenzangu na Mimi thathaaaa! kikosi mlichonacho ndio hicho kilichoshindwa kuchukua msimu uliopita kisa mmemuongeza cech basi tayari ubingwa, hahaaaaa poor Wenger, msimu wa mwaka juzi muliongoza ligi kwa zaidi ya miezi miwili lakini kilipofika kipindi cha out for two months, mkaanza kuomba Everton apigwe ili muwe wa 4 , saizi hata ligi haijaanza mmeanza tena, ok mabingwa watarajiwa ngoja niwape hongera zenu mapemaaa mabingwa wetu.

Mimi nilidhani baada ya wewe kujua mimi ni Arsenal fan utakimbia uogope hata kujigamba kumbe ni tofauti!
Haya mama mimi ni Arse8 lakini mwenzio nimenyanyua kwapa kila msimu (FA & community shield)....vipi wewe mzee wa mchangani a.k.a Europa?
Teh Teh Teh
Yaan wew mkuu barca wamekuloga si bure.
waache wajitambe tu!' na vibabu vyao!' ............ msimu ujao nafas ya 8 inawahusu. atakuja mwenyewe hapa na bango LVG OUT.Nani awachukie nyie mababu united cc ENZO
Hahahaaa ENZO hata usimwite maana yupo kwenye maombolezo na kwa fununu nasikia anahamia OT
Since Arsenal last won a trophy
Manchester United have spent over £200M and still haven't won anything yet.
LVG has done everything to empty Manchester United checking account by buying one flop after another
LVG's philosophies haven't reached Manchester United players thick brains.
Welbeck has left Manchester United won a FA Cup and two Community Shields.
LORD Bendtner has come off the bench scored an equalizing goal and a winning Pk over Bayern Munich.
Sanchez has won FA Cup, Community Shields and Copa America on his own.
Wenger has finally defeated Mourinho.
Obama has visited Tanzania and Kenya and ate Ugali na kisamvu.
Lowassa has left CCM for UKAWA.
Hahahaaaa usikae kimya kwani hii ni uongo?View attachment 273176 cc. Cardinal06
Alexis akila dinner na family members nchini Chile
kabla ya kupanda pipa .... .. ...
Anategemewa London wakati wowote ule mtondogo ..... .
Sanchez ndani ya nyumba , Benzema naye anataka, Muller anasikilizia.Ebana kama wimbo "California Love" vile ligi haianzi mapema "tuanze kuheshimiana" kama wale jamaa wa kule wanavyosemaga?
Muller Thomas ama? Huyu akisajiliwa na Goons nipigwe ban ya maisha.