Hivi ndo kusema mzee hataki kusajili mshambuliaji
Tetesi zinachema Reus ... ... .yuko njiani for £40 million ... ... ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee lakini hadi atue Prof very secretive. Mwaka huu kaamua kwenda msimu mzima bila kufungwa na kimburu yeyote ... ... patamu hapo Ding ... Dong!
Naiona arsenal ikipigwaa mapemaa
Naiona arsenal ikipigwaa mapemaa
Naiona arsenal ikipigwaa mapemaa
Mwaka jana
Misimu miwili morinyo kafungwa na man city mara moja tu sio man u,arsenal,liverpool usiandike kiushabiki labda kabla ya kwenda inter