Arsenal (The Gunners) | Special Thread
















wakuu wa Gunners FA cup ni kombe jipya ambalo wameanza kulitumia mwaka jana hadi hivi sasa ni Gunners pekee ambao wamekuwa wanalimiliki ikumbukwe FA waliliazima na kulipeleka kula South pole mapema mwaka huu ... ... ding Dong. #COYG
 



Arsenal midfielder Mesut Ozil enjoys a nap with his dog as he flies out of London to see his family




Set and match August 2nd Community Shield at Wembley

 
Wapi wale #mburukenge ambao kila tukifungwa wanataka Wenger afukuzwe ? Yeah namaanisha #mburukenge toka kambi yetu, wanaofuata lolote liandikwalo,lisemwalo,lililo popular, wanaotaka the flavor of the month type of manager apewe mikoba ya Wenger, wapo wapi ? Wapo wapi wale walio tayari kulaumu , kudhihaki kuzomea kocha na baadhi ya wachezaji particularly Giroud kuwa sio mchezaji mzuri na kutaka auzwe ili anunuliwe mchezaji fulani sababu tu pundit Rick Abdallah alisema hivyo juzi luningani sijui dstv , tbc,itv ctn,dtv blahblah tv. Mbona hatuwaoni wakiongea yao ya mioyoni ? Msisubiri August - December kuja kubwabwaja muda wa kuongea ni huu..Ni hayo tu. Endapo nimewaumiza au kuwakwaza Kumradhi.
 

Hahahaha naona leo umeamua kutoa dukuduku lako...

Kwahiyo wanataka Tony Adams aje kuchukua mikoba ya Wenger? lol
 
Giroud anajitahid, ila si class ya arsenal, sio mchezaji wa kumtegemea kuwa tunaweza pata kombe la ligi au uefa kwa mabega yake, wenger anapaswa kuongeza nguvu, naiman atalifanyia kazi hilo.
 
Hahahaha naona leo umeamua kutoa dukuduku lako...

Kwahiyo wanataka Tony Adams aje kuchukua mikoba ya Wenger? lol

Yeah mkuu imebidi. Huu ni muda mwafaka wa kuangalia nyuma. Kundi nililolirenga huwa linaniudhi sana. Misimu kadhaa iliyopita nilikuwa nasikia majina ya ajabu ajabu ya makocha wanaodaiwa kustahili kubeba mikoba ya babu.Majina kama Martinez, Moyes, Laudrup, Klopp, Big Sam, Simeone yalitajwa mara kadhaa humu lakini leo sioni hata mmoja wao aliyeondoka na kombe msimu huu. Huyo Tony Adams angekuwa anajulikana na wengi wa humu nina uhakika jina lake lingeorodheshwa katika list ndefu ya wanaostahili kubeba mikoba ubaya na uzuri wapenzi wengi humu ni wa kizazi cha facebook. Anyway baada ya miezi 2 au 3 tutawasikia wakija na majina mapya kama Pardew, Vieira, Keane,Shearer etc
 
Giroud anajitahid, ila si class ya arsenal, sio mchezaji wa kumtegemea kuwa tunaweza pata kombe la ligi au uefa kwa mabega yake, wenger anapaswa kuongeza nguvu, naiman atalifanyia kazi hilo.

Haya ndio ninayosema. As if ubingwa unaletwa na mfungaji mmoja peke yake. Soka ni mchezo unaoshirikisha wachezaji 11 katika kila timu.Kwa vile the so called pundits wanasema hivyo juu ya Giroud haimaanishi kuwa ni kweli kuwa haiwezi kutokea.Hata tukiwa na kina Messi, CR7, Aguero kama timu haichezi kitimu hatutafika popote
 

Kwa timu yenu ya sasa kumpa lawama Giroud ni kutokuitendea haki ligi nzima ya Premiership

Labda mimi sijui... huyo jamaa ana makosa gani? au afanye nini ili ndio "washabiki wafurahi"

Wanataka awe anafunga kama Christiano? £80m -£100m wanaweza kutoa kuleta mtu kama huyo?
 

Ndio hilo naloshindwa kulielewa. Msimu huu jamaa kakosa miezi 3 kwa kuumia still kafunga magoli 19 all competitions bado wanalalama. Kabla ya kubeba FA Cup msimu uliopita walikuwa wanasema Giroud sio striker wa kuwezesha Arsenal kubeba any trophy, hilo limepruviwa otherwise, sasa mziki umegeukia katika EPL na UCL. Tutakapobeba EPL msimu (mark my word/ guarantee lol) ujao sijui watakuwa na wimbo gani mwingine. Mimi sio mpenzi wa Giroud lakini nasapoti anachofanya kwa timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…