Na yule Serena Williams baada ya kupoteza set ya kwanza, ameshinda set ya pili sasa wanaingia final set.
Acha kuwaudhi watu wewe.Hongera sana gunners. Nawaona #mburukenge, #wasagasumu na #vimburu wamenuna karibu ya kupasuka Khe Khe kheeeeeeeeeeeeeee CC: everlenk nadhani sasa umeamini maneno yangu kwamba ushindi ni kama KAWA. Rudi nyumbani banaaa achana na hao nanihii lol!!! Makombe yameanza kurudi lol! 🙂🙂
MOTM si mwingine ni Santiago Cazorla
Jamaa anastahili kuwa MOTM. Alikaa vizuri katikati kitoto Grealish kilipotezwa chemba kama kipofu fulani.. Mechi kadhaa zilizopita alikuwa hachezi vizuri kwa maono yangu lakini leo ni yeye tu alikuwa anaunganisha mashambulizi. Nasikia Atletico Madrid wanataka kupandisha dau summer hii... Arsenal wafanye juu chini wampe mkataba mwingine kama Rosicky.
Hahahahahaha Welbeck na RVP ndio wachezaji wawili waliochezea Manchester United in last 2 seasons wenye FA CUP trophy au sio? Nzi, Belo, Bulldog,DonDonald, everlenk,RRONDO.