Wachezaji kibao wanaonekana wamechoka. Afu tangu Rentboys wabebe kombe na sisi kupata nafasi ya CL inaelekea ari ya kucheza vizuri imepungua labda wanasubiri FA CUP ambayo nayo Villa watapaki basi lao then wategemee goli la kindondokela.
na ndio mana Arsenal inaitwa ugonjwa wa moyo hvo vumilia mkuu kwani ili ije kuwa tishio na inyanyue ndoo mfululizo kama zamani inabid kile jichaw wenga kisepe la sivyo kila mwaka habar itakuwa ileile ya kujirudia