45min Manure wamejitahidi kipindi cha kwanza ngoja tuone second half Prof atafanya nini? Mike Dean anendelea kuwabeba Manure kama kawaida yake .... .
Kawabeba kwa lipi?? Acheni kulalamika nyie gunaz
Unaangalia mpira au unasikiliza redioni? Wacha pumba anawapa faulo za kirejareja na free kicks za bure tu.
Unaangalia mpira au unasikiliza redioni? Wacha pumba anawapa faulo za kirejareja na free kicks za bure tu.
Kwa kuangalia kikosi kwa maana ya mchezaji mmoja mmoja Arsenal ni wazuri zaidi.