kaka welbeck aliiumiza timu yake ya zamani, leo hii fabiansk anawabania kama hawajui vile
sala zako zimesikilizwa.
Kucheza tucheze siye na kufungwa tufungwe siye, its a bad night, any way ts part of the game hongera kwa Swansea na #TeamMburukenge kwa ushindi macho yote kwa sasa ni next game with Man u.
#COYG .
Nafasi ya 2 muhimu msimu huu. Nina uhakika katika mechi nne zilizosalia tutapata points za kutufikisha nafasi hiyo. Manchester City na United watapoteza points weekend ijayo.
Hahahahha Forever Fourth...
Kucheza tucheze siye na kufungwa tufungwe siye, its a bad night, any way ts part of the game hongera kwa Swansea na #TeamMburukenge kwa ushindi macho yote kwa sasa ni next game with Man u.
#COYG .
Naona safari ya kurudi kwenye "namba yenu" imeanza
Nilijua hii mechi itakuwa mechi kali kuliko zinazokuja. Hata hivyo nina uhakika tutawapiga ubaya Manchester united jumapili.
Naona safari ya kurudi kwenye "namba yenu" imeanza
ndiyo uzuri wa goal line technology. Huyu gomiz kiboko anamwambia refa vipi saa yako haionyeshi hilo ni goli.
cazorla pekee naona ndo anajitahidi kutafuta goli
bora tupigwe tu. Usenge mtupu
Mamluki wetu Fabianski anatuwekea ngumu. Anasevu magoli kama amepakwa ulimbo.
Jiwe walilolikataa waashi leo limekuwa jiwe kuu la pembeni...
Leo unanukuu Luka Mtakatifu sio? Haya mkuu endelea. Mkuu inaelekea wiki chache zilizopita ulikuwa maombini milimani kufunga na kuomba tupoteze mechi.
Hahahahaaaaa...Mkuu haijawahi kutokea adui kuombewa shibe.
Wapigwe tu maana hakuna jinsi, tumechoka na kelele mitaani.