Arsenal (The Gunners) | Special Thread



Vijana wanaendelea kujinoa tu .... .... . #COYG
 


Alexis round off the keeper .... .. to score the 3rd goal

Second half .... .... .... .... ...
 
Hull pulled one back after an injury from Kos .... .... ...
 
Ramsey out Jack Wilshere takes his place .... ... . .
 
Wilshire anaonyesha kwamba yuko fit .... .... . .
 
Naona Nzi ulidhani utapata cha kujifarijia baada ya kipigo toka kwa WBA.. Jiandaeeni tunakuja Old Trafford kuwapiga ubaya. Tukimpiga goli Swansea jumatatu ijayo Manchester United msahau kumaliza juu yetu
 
Ingawaje Sanchez amefunga magoli mengi nadhani Giroud atakuwa wa kwanza kufunga hat trick . Ningekuwa mitaa ya malkia ningeweka bet hii.
 


Ox atarudi lini? Hii first 11 inacheza vizuri inampa Wenger wakati mgumu ku-rotate wachezaji. Ox, Debuchy,Walcott, Wilshere, Welbeck, Gibbs wataendelea kusugua benchi hadi injuries zitakapokuja. Next victim ni Swansea.
 
Tunahitaji 5 points from 4 games kumaliza nafasi ya 3. Tukimfunga Swansea na #mburukenge wakitoa draw vs Crystal Palace nafasi ya 2 itakuwa kati yetu na Man City.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…