Mkuu sio kuongea sana. Hii ilikuwa ni kujibu alichosema hapo awali. Anyway, ndio mambo ya soka ya humu. Tunachangamsha mabaraza ya JF. Kina Nzi wanaongea sana kuwa juu ya Liverpool, kuwafunga Liverpool, Man City, Spurs kwa mfululizo na wengine tunaongea jinsi kibao kilivyobadilika tangu Fergie astaafu.
Jumatatu tukimpiga goli Hull City tutawaache wenyeji wa Manchester wakigombea nafasi ya tatu wenyewe kwa wenyewe.
Mbona hamuizungumzii nafasi ya kwanza? Msikate tamaa ligi bado haijaisha!!!!!
Haka ka- Mentor aka Mungiki Brother kanawewesekaweweseka tu chijui katakuwa kama wale wanaojiua kule Kwa Manyang'au? Juzi tu kalikuwa kamekimbilia Mancs chacha kamerudi kwa Mafioso phew! Aibu kanatanga tanga tu katoto ka kalikochanganyikiwa kanatafuta tajiri mpya. mambo ya Gunners yanafanya kaweweseke weweseke tu. Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ding Dong.
Hapo bado unaongelea wakati ujao, na ni suala la 'probability'.
Ila sielewi unavyosema lazima United ipoteze points kibao. Yaani unasisitiza lazima kama vile wewe ushajua matokeo tayari.
Ushabiki wa aina hiyo mimi sina siku...kwani najua kwenye soka kuna uwezekano wa kupata matokeo matatu.
Ushabiki huo utaongea na Malafyale.
Mkuu wewe kwa lugha nyingi sikuweziNilitumia neno LAZIMA?!?
Two games in hand 2 points above the 4th place, UCL spot is almost secured. Tukishinda j3 tutakuwa na uhakika mkubwa wa kumaliza kati ya namba 2 au 3.Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Two games in hand 2 points above the 4th place, UCL spot is almost secured. Tukishinda j3 tutakuwa na uhakika mkubwa wa kumaliza kati ya namba 2 au 3.
Lini umeona nikiishabikia Man city mkuu! Wacha 1 uongo!!!
Ligi imeisha tugange yajayo sasa .
Mkuu mambo bado tunaendelea kunoa vijana kwa ajili ya FA cup .... ..... . Wacha na na hao walionunua kikombe .... .... walianza kulialia kama vitoto vilivyokosa lawa lawa ati chijui kuna campaign et al .... ... ..what a shame a small team hiding in the cowshed.
Hii mmeshaiona eti???! khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee