Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Bora umejieleza umeitoa forum nyingine... Yani Mimi baba wa EPL nifungwe na Man u everlenk au na Asenal Eli79 tena mbele ya kinda langu mkubwa na wanae KING DD YAVES... Ningevua kofia, ningevua mkanda na ningelegeza buti haki ya nani... Na liva nae!??
 
Last edited by a moderator:

Next weekend siyo mbali......tuombe uzima
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Richard vip hiyo taarifa imethibitshwa kuwa atakosa mechi zote zilizobaki??
Maaana dogo alikuwa amekaa katika peak nzur saana aisee.

Alex ana matatizo ya misuli na kila anapokaribia kupona na kuanza mazoezi mafupi, jeraha huwa linarudi tena.

Hivyo anaandaliwa kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji.
 
Vijana wa ARSENAL tukutane jumamosi hapa kushangilia chama hadi tuingie Fainali then kubeba FA CUP back to back. Waache #mburukenge washangilie ushindi wa kurudi top 4. Jamaa wamespend 150 M pounds (in one transfer window) ili wamalize top 4.
 
Vijana wa ARSENAL tukutane jumamosi hapa kushangilia chama hadi tuingie Fainali then kubeba FA CUP back to back. Waache #mburukenge washangilie ushindi wa kurudi top 4. Jamaa wamespend 150 M pounds (in one transfer window) ili wamalize top 4.

Hahaaa, cc tuko pamoja na jinc chama lilivyo moto mwakani tunabeba ndoo ya EPL, labda mzee alete ule ubwege wake wa kuuza machines.
 
Wakuu ingawa mechi yetu iko mbali kidogo mnajiandae na Shetani mnyonya damu.......
 

Duh,safi sana hii
 
Last edited by a moderator:
meanwhile kwenye tetesi za usajili huenda msimu ujao tukamuona gonzalo higuain akitua emirates
 
Nina wasiwasi na hii mechi. Wiki 2 zilizopita niliota tumepigwa ubaya na hii timu ya Mohammed Mwameja na Athuman China... Hope it's not true..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…