Arsenal (The Gunners) | Special Thread

leo ndjo leo... ukila magoli unakosa ubingwa, tukila magoli tunakosa ligi ya mabingwa... all the best wapinzani
 
Subirini May tu-compare notes hii yote ni katika league kitu chochote kinaweza kutokea. Mpanda ngazi hushuka. Hii ni February ingekuwa knock out kweli tugeganga ya mwakani.

Ukiona timu yako inashambuliwa sana hasa na Mafioso na Manure basi fahamu kwamba mko kwenye right track. Mpira wa leo safi sana wachezaji majeruhi wengi wameweza kufanya mazoezi ya kutosha kwa hiyo tunategemea ngoma safi. Wakati huo huo tutakuwa tunachungulia kwa watani wetu wa jadi.
 
hivi ndugu zangu ebu tuambiane ukweli,hamuoni huu mchezo wa clichy,gallas,varmelen,sagna wote kupanda mbele kwa wakati mmoja una tu-cost kwenye big games na saa nyingine pia mechi ndogo? najua stahili yetu ni yakushambulia kutoka kila angle lakini tunapoona inakuwa hatari na timu za kutumia counter attack kuna ubaya gani kuzuia atleast mabeki wawili kubaki kulikoni kukamatwa kwenye counter attack? we did against villa and it worked so good.anyway its too late manake mtu wa counter attack nawaogopa ni spurs tu kwa sasa na labda liver leo kwa vile benitez kasema atatumia hio style.
 
mkuu dua zako muhimu sana leo manake maisha yashakuwa magumu na bila point 3 leo basi kesho tutasikia mengi sana kwenye magazeti ya uingereza.

AW, leo tunawachapa L'pool 2-0 ili angalau tufute machozi ya mechi hizi mbili tulizopigwa jula ya bao 5-0.
 
AW, leo tunawachapa L'pool 2-0 ili angalau tufute machozi ya mechi hizi mbili tulizopigwa jula ya bao 5-0.
ha ha ha mkuu kusema kweli hakuna clean sheet pale golini kwetu labda kusiwe na shot on goal,mie nadhani tunashinda 4-2 hoping arshavin atapiga long range zake manake amekuwa likizo kidogo kwenye zilizopita japo alikuwa na nafasi.
 
Clichy alikuwa majeruhi alikuwa bado hajafikia kiwango chake, utaona leo mabadiliko vile vile usisahau Song jet lag na Daby alikuwa majeruhi. Timu nzuri bali kuna hii nigling za hapa na pale. Manone naona anaweza kuwa golini Almunia kidogo ana matatizo kwa sababu alikuwa anataka kucheza kwenye timu ya England alikuwa hajawafahamu hawa jamaa. Baada ya mechi ya leo ndio tutaona zipi mbivu lakini tegemea ushindi leo.
 
ushindi leo mkuu nautegemea sana.kuhusu clichy kweli katoka injury na hayuko fit bado.tatizo naona kama mabeki wetu wakipanda wanajisahau mno na kujikuta wote wako mbele hata counter attack ikitokea wanajikuta wote wanafukuzia.

pale kati sina wasi wasi kabisa lakini wenger alifanya kosa kumuanzisha walcott siku hile. denilson alitakiwa kuanza manake huwa wako poa sana huku diaby angetoka kushoto ingemruhusu ku-attack zaidi na nasri angetokea kulia.kati pale denilson na song wangefanya kazi ya kumlinda fabregas.
 
AW
Hata Nasri bado hajafikia level yake kuna goli kama mbili hivi alishindwa kufunga natumaini mazoezi aliyofanya tangu apone yatamuwezesha kurejea kwenye kiwango chake. The mafias na Manure wanafahamu tukiwa kwenye form watatusikia tu, then Arshavin naye amepoa sana sijui labda kwa vile hachezi kwenye namba yake au ameumia maana yule hata akiwa na maumivu huwa anacheza tu.

BTW nimeambiwa kwamba Mafioso wote wamejificha hadi ngoma iishe hakuna cha Invisible, Kikojozo aka masanilo wala peasant kigogo or Kalenjin.
 
list la leo wakuu ni hii.

Almunia, Eboue, Gallas, Vermaelen, Clichy, Song, Diaby, Fabregas, Nasri, Arshavin, Bendtner. Subs: Sagna, Rosicky, Walcott, Denilson, Fabianski, Traore, Campbell

naona sagna kapelekwa bench eboue kachukua nafasi na ben kaanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…