Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa chifu nikianza kuongelea historia si nitakuacha uchi?!?
 
Tutawapiga 4-1 au 4-2! Monako tunawatoa hao. Kama walifunga kwetu 3 kwa nini sisi tusifunge 3+1 kwao? Inawezekana! Tutafutane J5 asubuhi.

Pamoja na bet yangu ya awali..naweka bet nawewe....

Goons mkipita nidai US$ 50...wewe weka hata jiwe...
 
Pamoja na bet yangu ya awali..naweka bet nawewe....

Goons mkipita nidai US$ 50...wewe weka hata jiwe...
Aiseee, mbona mimi sipati deal kama hizi?
Kama kuna mwingine anayetaka kubet na mimi kama hivi aniambie jama.
 
Mie pia, jamaa wanasumbuliwa na Saints, tusubiri tuone labda wanaweza hata poteza pt 3..
 
Pamoja na bet yangu ya awali..naweka bet nawewe....

Goons mkipita nidai US$ 50...wewe weka hata jiwe...

Nzi ukumbuke bets zako zote tangu msimu uanze. Una bet na mimi...!!
 
Last edited by a moderator:
Presha ya nini nifah ? Tuna historia nzuri sana ya mechi za ugenini za uefa

Japo historia wakati mwingine hudanganya kama ilivyokuwa OT last monday, natamani kuona mkisonga mbele.
 
Last edited by a moderator:
wapenzi wa man u na liverpool wanatakiwa waiombee dua arsenal ipite robo fainal ili kuweza kugombania nafasi ya nne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…