hahahahaha lol! utafiti aliniambia mama yako ana maswali magumu, "Nimwambie nani baba?" Mwambie Utafiti mama anaongeza swali lingine "Wewe ni mkwe wangu, mnafanya kazi pamoja, au kwa kifupi mkojemkoje?" Maswali kama haya lazima Utafiti asepe haraka sana badala ya kupata kigugumizi "Baba mbona hujibu maswali yangu? Umepata kigugumizi?" "Ngoja nikuletee maji ya kunywa labda utaweza kuyajibu" hahahahahaha lol! Chezeya mama yake Honey Faith weye!!!
Hii presha nimeiga kutoka kwako maana wewe hapo juzi kati ulikua hatari ila sasa hivi unanicheka mimi...lolUnapresha kama nifah
Hii presha nimeiga kutoka kwako maana wewe hapo juzi kati ulikua hatari ila sasa hivi unanicheka mimi...lol
Ila nimefurahi sana, sikuwa pamoja nanyi hapa jamvini lakini tulikua pamoja kwenye kucheki game.
Jumanne saa tatu usiku nitakua nimefika ila usilale mda huo
Nitakusubiria tuende kuangalia wote au wasemaje?
Hapo sawa kabisa
Hahahaaa, ungekua sio the Gunner ningekulipisha..lolNdio naicheck kwa karibu hapa nimechukua na darubini ili niione vizuri lol! hahahahahaha.