Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Endelea kujidanganya!! We are on fire kwenye hii FA
 
Reactions: BAK
Welbeck kushangilia mefurah kinoma, mpaka sasa naamini kombe ni letu
 
Reactions: BAK
Paul Scholes: "When Man United face Arsenal on Monday, it is hard to see Arsenal winning."
 

tukuulize wewe LGV in or out? Stay away 4m our prof
 
All the way to retain our Cup.. Afu uzuri zaidi ni kuwa Manchester United wataikosa top 4 kwa mara ya 2 mfululizo na hasara za Β£150M juu. Bookmark this Nzi, DonDonald, Belo, Mndengereko, RRONDO, Malafyale,Mfarisayo,tpaul,Mbu,Wacha1,utafiti
 


Kwanza Di Maria ali-dive...





Refaree akamuonya kwa kadi ya njano...






Di Maria akukubali, akataka kuchana t-shirt ya refa, akatolewa nje.


 
Reactions: BAK
kwahiyo unakikana ulichoandika ama ulipagawa na ushindi wetu and who is the gel?
Unajua kusoma kweli?
Kama unajua , soma nilichokiandika tena.

Usiwe unarukia daladala tu bila kujua inaelekea wapi.
Wewe humjui the gel??

Uliza mdudu Nzi.
 
At least tuna hope ya kubeba kombe mwaka huu Semi-final tutacheza na Bradford/Reading vs Arsenal. Hopeful tutakutana na Aston Villa finali. COYG!!!!!
 
Reactions: BAK
Plan kufa kabisaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‰πŸ˜‰
 

Attachments

  • 1425940585531.jpg
    38.8 KB · Views: 173
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…