Wenger amewapatia harufu kidogo.
Mpira haukuwa mzuri...nothing of flowing football..no pace..dives and silly fouls.
Arsenal ni timu ya ajabu. Di Maria alitolewa uwanjani lakini Arsenal hawakuonekana wanataka ku-kill the game. Hakuna mchezaji anaweza kuvurumisha kombora, wanataka kufunga mabao ya slow motion.
Kwa kweli bahati ilikuwa upande wenu leo kwa kutolewa Di Maria. Isingekuwa hivyo, hii mechi ingeishia kwa sare au Arsenal kufungwa.
Finally, huh. Jamani sikuweza kuangalia mechi ya leo. Vijana walichezaje? Great win by the way. Na Poa kwa Welbeck ku stick one over LVG.
cc BAK, Wacha1, Nzi, DonDonald, Belo, RRONDO, Mbu, Pazi