hasa kwa mech ngumu kama ile ya monaco rosicky acheze 8 mbele kidogo ya coquelin na cazorla acheze no. 10 hlf ozil ataingia kama baadae kumbuka ozil hawezi kukaa na mpira muda mrefu kama cazorla wala sio mpigaji mashoot pia sio mkabaji mzur kama rosicky au cazorla
Gemu kama ya leo uwa zinanipa presha sana hawa walioko kwenye relegation wanakamia hasa sintoshangaa sisi wa nafasi ya 3 tukapata upinzani toka kwa timu ya 18 hasa wakiwa home ingawa QPR msimu huu home hawana rekodi nzuri,mabeki wawe makini na C Austin jamaa ni clinical finisher.
COYG