Kesho nitakuwa nanyi mkimfunga Soton...
Kesho nitakuwa nanyi mkimfunga Soton...
hahaha desperate times calls for desperate assistance. Ajabu Man United kushangilia Liverpool. Nzi na Man unitede ndimi nje. Angalia unachokiomba kisije kukudhuru mbele ya safari. Liver wakishinda watakuwa 2 points nyuma yenu na bado mna vibarua vigumu vs Chelsea, Arsenal, City, Liver, Everton.
Karibu kule kwenye jukwaa la wastaarab sio kama majukwaa yenu yenye ukiritimba wa kutisha
Jukwaa la wapiga mishale ni BAK na rubaman tu wenye haki ya kuandika chochote wengine hadi ruhusa yao sambamba na jukwaa la Chelsea bila ruhusa ya Ntuzu na Manumbu huwezi andika kitu
Jukwaa la Man U lzm upate approval ya Nzi au RRONDO au dada everlenk kuandika
Kwetu yyt anaruhusiwa kuandika,njoo kesho
Arsenal ni tume pekee ninayoiona PL yenye uwezo wa kutengeneza vikosi viwili tofauti vyenye nguvu..
Big up Gunners
Warusha mishale badala ya kupiga bunduki mpo salama?Naona sasa mnaanza kunusa harufu ya Majogoo wa Liverpool na kuanza kutuogopa ehehehehe
Acha uongo wewe......jukwaa lenu limejaa watu wakorofi hakuna mfano.....sisi kwetu kila mtu anaingia na kusema lake na wewe ndio kiongozi wa wageni kwetu
Mkuu tunakukaribisha sana kule kwa Majogoo pls usitususe bana
Njoo tujadili soka
Uwezo wangu wa kujadili soka ni mdogo sana na kule kumejaa ma genius afadhali huku na Chelsea thread wanaweza kutuvumilia sisi tusiojua mpira tulioanza kuujua Mpira juzi
Unakimbia kule kwetu baada ya kugundua kuwa Majogoo yatakuzidi kwenye msimamo muda wowote kuanzia week ijayo na kumbuka kuwa ulikuwa unatuponda sana sisi!
Njoo kule tujadili soka,sisi tumekusamehe ww na Nzi pia
Na nyie GONERS mjiandae kwa kichapo hapo march 7/8.....anyway mshazoea kichapo kutoka kwenu hamna cha kujiandaa...........
Wapiga mshale wapo vyema sana kwa sasa,huwezi wazuia wewe
Hawa tutawapiga sisi