Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hata mie nimechukia hilo goli, maana magoli kuanzia sasa ni muhimu, inawezekana kabisa tofauti ya timu moja na nyingine ikawa ni magoli tu kama ulivyoona nafasi za juu kuna mbanano ambao unaweza kuwa unabadilika kila wiki, lakini si haba ukitilia maana Chelsea wametoa draw, MANU kapigwa na MAN C akipigwa au akitoa draw siku ya leo itakuwa bomba sana.

Tumeshindwa kuzuia goli dakika moja ya mwisho, sio mbaya tumeondoka na 3 points
 
Tumeshindwa kuzuia goli dakika moja ya mwisho, sio mbaya tumeondoka na 3 points

Away from home tunacheza hovyo siku hizi. Anyway tunaweza kusingizia akili yote ilikuwa vs Monaco wiki ijayo. Hata hivyo 3points ni 3points kizuri zaidi Chelsea na Man United wamepoteza points 5 between them. Next stop ni vs Monaco
 
Nikweli BAK na pia matokeo ya leo kiujumla mechi zote ni mazuri kwetu, na mechi ya kesho nikua upande wa liverpool ili s'mptn asisogee
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Away from home tunacheza hovyo siku hizi. Anyway tunaweza kusingizia akili yote ilikuwa vs Monaco wiki ijayo. Hata hivyo 3points ni 3points kizuri zaidi Chelsea na Man United wamepoteza points 5 between them. Next stop ni vs Monaco

Yes ila Wenger aangalie tena mstari wa mabeki wetu
 
Yes ila Wenger aangalie tena mstari wa mabeki wetu

Nachoona mimi kama hatuna balance nzuri katikati. Tuna relay kwa Coq, Cazorla, Sanchez afu hatuna watu wa kuwareplace wanapozidiwa. Arteta, Ox wangekuwa fit wangekuwa big addition muda huu. Arteta atarudi lini?
Cc Wacha1, BAK, utafiti,Mbu
 
Ox next week atakuwepo Colney
 
Arsene Wenger has further bolstered the future talent at his disposal
by snapping up 15-year-old whizz kid Jay Beckford from Leyton Orient
.
 
Reactions: BAK
rubaman leo nyie wapiga mishale mmecheza vibaya lkn mmeshinda

Hongereni sana ushindi ni ushindi
 
Last edited by a moderator:
rubaman leo nyie wapiga mishale mmecheza vibaya lkn mmeshinda

Hongereni sana ushindi ni ushindi

Arsenal hatuna anayetupenda aisee. Kila tunapocheza vibaya na kushinda watu lazima m-highlights uchezaji mbovu badala ya ushindi. Man United, Chelsea, City mnawashangilia kwa ku-win ugly wakati wamecheza hovyo. Mnawapa bonus kwa kucheza vibaya na kushinda wakati huo huo. Double standard, I say.
 
You didnt deserve to win but you did!Typical character of organized team!

Mtachukua nafasi yenu ya 4 kama kawaida,sisi Majogoo tutakuwa wa 3 na Man U hata Europa hachezi tena

Salaam za zetu kesho tunavyo mchapa Soton zimfikie RRONDO na Nzi
 
Last edited by a moderator:
You didnt deserve to win but you did!Typical character of organized team!

Mtachukua nafasi yenu ya 4 kama kawaida,sisi Majogoo tutakuwa wa 3 na Man U hata Europa hachezi tena

Salaam za zetu kesho tunavyo mchapa Soton zimfikie RRONDO na Nzi

RRONDO
na DonDonald hawataonekana leo. Wenzao kina Nzi, Belo, Mfarisayo wameingia kutoa soo tu. Kesho nataka South watoe Draw Man Utd wawe wa 4. Anyway, mkijitahidi mnaweza kuwaondoa Man United ndani ya top 4. Sisi tunafukuza top 3 finish msimu huu na tunaweza kumaliza hata top 2 kama City wataendelea kudemadema.
 
City Yaya karudi strong hawezi drop points kijinga tena

Tuombee dua Yaya arudi na malaria ili asicheze na sisi tumfinge
 
You didnt deserve to win but you did!Typical character of organized team!

Mtachukua nafasi yenu ya 4 kama kawaida,sisi Majogoo tutakuwa wa 3 na Man U hata Europa hachezi tena

Salaam za zetu kesho tunavyo mchapa Soton zimfikie RRONDO na Nzi

Kesho nitakuwa nanyi mkimfunga Soton...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…