Yuko slow angekuwa Welbeck basi leo tungekuwa na karamu. Tunahitaji kufunga goli nyingi ili mbele ya safari ziweze kutusaidia.
Lkn Welbeck hawez kupika km anavyofanya kiungo hatari Ozil. Angalia goli zote zina mguu wake.
hongereni point tatu muhimu hizo
sisi Leicester City bado goli moja halafu tupige na la 3 tumalize kazi. chezea wazee wa kuchomoa wewe! unajua kilichowakuta man city? kaulize...
Tungeshinda juzi na Spurs tungekuwa kwenye nafasi nzuri sana.
Jinsia yako kabla sijaja PM?
Hizi ndio mechi za mjaza server, leo humu itajazwa mipicha
#ArsenalFor4thPlace