Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahahahaha "And its himself, the man of the derbies, Harry Kane" ahahahaha hatari saanaa
 
Ndio sababu SAF alikuwa juu zaidi kwa matokeo mazuri ukilinganisha na Babu, mara nyingi hakukawia kufanya mabadiliko pale alipoona timu yake imezidiwa na hivyo kufanya mabadiliko ili kuubadili mchezo. Una wachezaji wazuri kwenye banch ambao wana uwezo mkubwa wa kufanya mabadiliko ya mchezo kwanini usubiri zikiwa zimebaki dakika chache ndio ufanye mabadiliko? Halafu akiambiwa anajifanya mjuaji sana.
 
Mechi za jioni ndomana sizipendagi, hawa FA wasiwe wanaipangia Arsenal mida mibaya hii aaaaaah

Kwenu bongo ndio mmeiona jioni hii mechi kaka...mechi imeanza saa saba kasoro mchana hapa London
 

Pamoja na kuwazidi kwenye kufunga wa kwanza ila mlizidiwa sehemu zote za uwanja
 

Duh! Poleni sana watani wangu ndo vile tena one mistake one goal,sometime hawa makocha wetu wanaboa na maamuzi yao utafikiri hawajui,Walcot angeingia mapema yumkini mngekuwa mnacheka sasahv na point 3.
 
Reactions: BAK
...lol!!!! ajiandae tu kumpisha Thierry msimu ujao.


Huyu mzee ni untouchable hapo emirate nani atajivisha kengele na mabosi wanaingiza faida kila mwaka
 
Reactions: BAK
Kwa kuwa legends wengine hawakuwa makocha wazuri, haina maana na Thierry hawezi kuwa kocha mzuri. Huwezi kuhitimisha kitu bila kujaribu na kuona matokeo yake.

T. Henry hawezi kuwa kocha. Mara nyingi legends hawawezi kuwa makocha wazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…