Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu babu anatuulia Gunner yetu.Ameishiwa bora tumpe Klopp timu atuletee mafanikio kama anavyofanya Dortmund hivi sasa.Mambo gani haya ya kuifunga timu mbovu kama Villa kwa goli 5 tu? Ilitakiwa ziwe kama 10 bila. Wenger out, Wenger out Wenger out.

Hahahahahaha....

Soccer ni Mchezo unao frustrate sana hasa mkiwa na Series ya matokeo mabaya

Tunacheza

AWAY -Vs Tottenham;

HOME Vs Leicester

AWAY - Crystal Palace

HOME - Vs Everton

AWAY - Vs QPR

HOME - Vs West Ham

inawezekana kama tukicheza kwa kiwango hiki hiki
 
Duh,leo jukwaa limepooza sana.Wapi BAK utafiti Wacha1 na wengineo?

Nilikuwa nimeruka na ungo kidogo na kutua Emirates kama maji mtungini kuangalia mtanange uliotakata chio ile mieleka ya kwenye cowshed khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Any Questions? Uchipige ukelele wakikusikia a small team watakuja ballistic .. ....

BTW hapa Alaska barafu kibao kidogo ungo uteleze lakini chi unafahamu niko mjuzi kiduchu.
 





Classic from OG what a composure .... . 1 up pass from Ozil



Ozil makes it 2up ..... ..... and we were rocking .... .



Theo added a sucker punch 3up




The player in form Sant Carzzzzzzzzzzzzzzzzzzz from a penalty spot 4up



Hector Bellerin closed the curtain.







Chuba Akpom gets an easy ride ... ...



Bellerin after opening his account .... .
 
Wakuuu wa Gunners binfsi sikubahatika kushuhudia mtanange huu but hongeda sana kwa ushindi mnono na leo imedhihirisha kuwa Arsenal sio One Man team kama Wafukunyuku walivyo kuwa wamekomalia jambo hilo.
 


Jamaaa wanaulizana whats up!



Akpom pen ....



Ozil ... ... goal, man of the match



Per rock solid




Laurent Koscielny solid as you like it ..... ..








Nick Cleggy deputy PM alikuja kutafuta umbeya ....



Henry na Pires walikuwepo kushuhudia mtanange kama kawa


Next Totts away .... ... a stone away from Emirates
 
Hongereni sana ila mwakani Uefa mtaiangalizia kwa jirani S'ton nao wako kwe timing ya UEFA
 
Walioondoka #Arsenal kwa kebehi wanajificha West Ham sasa hivi hali mbaya. Kaka #Adebayor kaona isiwe tabu bora ajiunge na #Song Upton Park badala ya QPR


Mkuu,

Mwenyekiti wa Tottenham Daniel Levy ameweka zuio kwa Adebayo asiende West Ham kwa sababu Adebayo amekataa kwenda QPR au Crystal Palace. Levy alitaka Adebayo aende kwenye timu hizo ambako Tottenham wangechangiana malipo ya paundi 100,000 ambazo Adebayo analipwa na Tottenham kwa wiki.

Adebayo kuona anaambiwa achague moja ya timu hizo akakataa na Levy akawaambia West Ham kama wanamtaka Ade basi wao wachukue jukumu la kumlipa pesa yote yaani paundi 100,000 kwa wiki wazo ambalo West Ham wamelikataa.

Unafahamu Tottenham wanawaangalia West Ham kwa jicho la husda hasa kwa kuzingatia kwamba wote wapo juu kwenye msimamo wa ligi hivyo West Ham kuonekana ni tishio kwa Tottenham. Ndio maana Tottenham wakaona Adebayo aende kwenye hizo timu za chini ambazo si tishio sana.

Haya mambo ya usajili wakati mwingine yanaleta mtafaruku sana ulojaa pilikapilika nyingi.

Hata hivyo Tottenham ndio watakaokula hasara kwa kuendelea kumlipa Adebayo hicho kiasi cha fedha hadi msimu wa ligi uishe, na mkataba wake baadae mwaka huu.
 

Tatizo la jamaa (Adebayor) ana kiburi sana.....ahsante mkuu, nadhani pia ushindani wa kufuzu mashindano ya ulaya baina ya West Ham na Spurs unachangia. Naye Levy anaona bora hasara kuliko kumruhusu tuh, cuz hata akiendelea kukalia benchi kila wiki ataendelea kula paundi buku mia
 
Wenger ni mteja tu kwa Jose Mourinho.
 

Attachments

  • wenga.jpg
    9.1 KB · Views: 151
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…