Katika mechi nane zilizopita ambapo tulistahili kupata 24 points tumepata 19 points si rekodi mbaya hata kidogo na mwezi huu na March kama tukiwa makini tunaweza kushinda mechi zote na kuwapa pressure kubwa walio juu yetu.

Hapo ni pengo la point 5 tu!Sio mbaya tuombe tu hizo zilizobakia vijana wakiendelea kuperfome hivi tutakua katika nafasi nzuri na tishio kwa hao walio juu yetu.
Naona Ozil karejea vizuri.
Huyu babu anatuulia Gunner yetu.Ameishiwa bora tumpe Klopp timu atuletee mafanikio kama anavyofanya Dortmund hivi sasa.Mambo gani haya ya kuifunga timu mbovu kama Villa kwa goli 5 tu? Ilitakiwa ziwe kama 10 bila. Wenger out, Wenger out Wenger out.