Arsenal (The Gunners) | Special Thread




Former Fulham goalkeeper Stockdale dived too late to keep
out Rosicky's perfectly executed strike in the 59th minute






 
Mkuu Wacha1 we did it! The first thread on JF to reach that magic number...Congratulations!


Inawezekana hii ndio thread kubwa zaidi hapa jf,
Hongera kwa arsenal wenzangu wote, hongera sana mkuu Wacha1, BAK
 
Last edited by a moderator:
Baada ya Mesut Özil kupona sasa Wenger ataanza kumuweka Benchi Santi Cazorla wakati he is in the best form kwa sasa. Laiti ningekua Wenger, namchezesha Coquelin no 6, Theo14 namba 7, Santi nampa muddle 8, AS17 nampa 11 ili awe anafanya cut in side na free role pia nampa, weka Uncle Tom namba 10 then O. Giroud mpe Hold up play no 9. Kwisha habari.
 

ila wewe siyo wenger
 
Paulista apatiwa "work permit"



Gabriel Paulista akiwa kazini.

Mchezaji huyu amepatiwa kibali hicho leo hii mchana baada ya wawakilishi wa AFC kuweka mezani mbele ya maofisa wa idara ya uhamiaji na wale wa FA, maelezo yao mazuri juu ya kwanini wanamhitaji mchezaji huyu ambae anachezea sehemu ya ulinzi wa kati au ""mkoba.

Pia leo hiihii jioni mchezaji huyu alitarajiwa kufanyiwa uchunguzi wa afya yake na AFC huenda wakatangaza rasmi usajilki wa mchezaji huyu kesho mchana.

Gaby anakuwa mchezaji wa pili kusajiliwa katika dirisha la usajili la mwezi huu wa January baada ya Krystian Bielik ambae nae amekuwa mchezai rasmi wa AFC.

Mjue Gabriel:

1. Alizaliwa Sao Paolo nchini Brazil lakini kimpira alipitia katika shule ya vipaji maalum iitwayo Esporte Clube Vitoria iliyopo Salvador.

2. Alianza kucheza mpira kihakika dhidi ya Flamengo nchini Brazil.

3. Kwa utaalam ni beki wa kati lakini anaweza kucheza nafasi ya ulinzi wa pembeni kulia na kushoto.

4. Alichaguliwa kuwa ni mkoba na beki mshahara wa uhakika mwaka 2013 kwenye mashindano yaitwayo Campeonato Baiano ambapo timu yake ya Vitoria ilishinda.

5. Mwaka huohuo Villareal walimgundua na kumsajili kwa mkataba wa miaka mitano. Ameisadia timu hiyo kucheza mechi 15 hadi alipoanza mazungumzo na Arsenal mwaka huu na ilikuwa haitapoteza mchezo hata mmoja.

Karibu AFC Gaby.

COYG!!!
 

Laiti lol....namba zako za mashati au za uwanjani
 

Sababu ya Wenger kumsajili Paulista ni kuimarisha ulinzi baada ya Debuche kuumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…