Brighton wameanza kujenga imani kwamba wanaweza kufanya yake yalofanywa na Bradford City. Wanacheza huku wakimtumia zaidi Baldock Savage ambe leo anacheza mbele badala ya nafasi yake ya pembeni.
Najua unatupenda maana unajua tunavyotandaza soka la uhakika 🙂🙂 Shukrani kwa kutuombea heri. Hata macho na akili vyote huburudika kutizama soka la Gunners, 2-0.