Ahsante sana Mkuu, leo najua fika kwamba wapenzi na mashabiki wa Chelsea na MANU wote watakuwa wanatushangilia kwa nguvu zote ili tupate ushindi dhidi ya Man City. CC: everlenk, Honey Faith, utafiti na wapenzi wote wa soka hapa jamvini. Wellbeck, Sachez, Walcott kama wote wataanza pamoja basi tutaiweka ngome yao kwenye pressure kubwa sana na lazima tuzione nyavu zao at least once before half time.
Punda afe mzigo wa bwana ufike. City inabd afe tu leo kwa hali yoyote.
Arsenal team to play @MCFC: Ospina, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Coquelin, Ramsey, Oxlade-Chamberlain, Cazorla, Alexis, Giroud.
subs: Szczesny, Gibbs, Chambers, Flamini, Rosicky, Ozil, Walcott #MCFCvAFC
TEAM NEWS @MCFC: Hart, Zabaleta, Kompany (C), Demichelis, Clichy, Fernandinho, Fernando, Navas, Silva, Milner, Aguero #cityvarsenal #mcfc
SUBS NEWS @MCFC: Caballero, Mangala, Sagna, Kolarov, Lampard, Jovetic, Dzeko #cityvarsenal #mcfc
Arsenal team to play @MCFC: Ospina, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Coquelin, Ramsey, Oxlade-Chamberlain, Cazorla, Alexis, Giroud.
subs: Szczesny, Gibbs, Chambers, Flamini, Rosicky, Ozil, Walcott #MCFCvAFC
Honestly nina mashaka na lineup ya Arsenal.
Vipi mkuu lete maneno nawaona vijana hapa wanapasha joto. Rambo ndani ya dimba bring them on. COYG