Goons wakiwa wa 4 katika EPL nasitisha kuwa shabiki wa Man United kwa msimu ujao (msimu mmoja tu)
Ila lile dau la kuhamia Arsenal kama ikishinda UCL lipo pale pale...
Tumeshakuzowea,hizi ni bet hewa hazipo controlled.
Natarajia tutapangiwa vs team ya Premier League, wakati wengine watapangiwa dhidi ya lower Leagues teams kama raundi iliyokwisha.

ushaanza kujinyea....subiri chelsea/man utd/city wanakuja 4th round hio.
man vs arsenal katika fa
man u ni kilaza tu kwa arsenal
hizo ni porojo tu...kaangalie stats man vs arsenal last 10 games
za fa tu ? au
ushaanza kujinyea....subiri chelsea/man utd/city wanakuja 4th round hio.
Nope.. Msimu uliopita baadhi ya timu tulizoziondoa miongoni mwao zilikuwa za Premier League Liverpool, Spurs na Hull City tukabeba Kombe. Msimu huu tumeanza na Hull City (Premier League) kwa mtiririko huu naweza kusema kuna uwezekano wa kukutana na timu nyingine ya premier League.
i hope u gonna play chelsea.
dah my arsenal jamani
dah my arsenal jamani
achana na stress hizo,njoo man utd