Karibu sana, tunakusubiri kwa hamu kubwa sana. Najua utatuletea bahati na hivyo kuendelea kufanya vizuri katika ngwe ya pili ya EPL katika msimu huu na pia katika misimu ijayo ya EPL.
Asante sana my dia
Asante sana na mie nina kismat lazima mwakani mchukue kikombe....
:yo: :yo: :yo: Please bring your kismat to our camp.
Yeah! Kwa jinsi jamaa walivyokuwa wanashambulia zile sub zilikuwa muhimu sana ili kuongeza nguvu kwenye defence, hasa ukitilia maanani kwamba defence yetu iko weak.
pamoja sana mkuuu kitu muhimu point 3 muhimu zimepatikana.
Mwakani itabidi nianze kushabikia washika bunduki.
This I promise you my friends
Naona unataka kujiharibia mwaka wako 'my friend' Honey Faith.
Hapana bwana hawa watoto wanacheza sana sema kuna vitatizo vidogo vidogo tu
Hivi shem wewe ni chelsea au man u?
Hapana bwana hawa watoto wanacheza sana sema kuna vitatizo vidogo vidogo tu
Hivi shem wewe ni chelsea au man u?