Arsenal wafungwe tu
Tunatesa kwa zamu.
COYG
#InGunnersWeTrust
Hawa si ndio walipumnzisha wachezaji kuchubiri hii mechi .... ... ... . second half coming ... ..
duuhhhh!! babu wenger sub zote anazofanya ni za difence.
Nashindwa tazama mpira, kila kona au cross roho yadunda mno..