Shukrani everlenk niko hapa mkao wa kula baada ya kuangalia mechi ya New Castle na Sunderland sasa nasubiri huu mtanange wetu 20 minutes to go. Liverpool wataanza kwa speed kubwa sana ili wapate goli/magoli ya haraka haraka na hivyo kuwa na support kubwa toka kwa wapenzi wao hasa ukitilia maanani wao watakuwa nyumbani. Tukiweza kupata goli la kwanza sisi itakuwa bomba sana.

Refa keshaanza kuwapendelea loser fools, kadi kwa Flamini lakini foul kwa Gibbs kaminya .... .. . Ox and Gunners started very slow so far .... ... ... ..
We can not play as bad as the first half, no commitment whatsoever, may be the referee made them feel that way due to his stupid fouls to favour Loser fools ... .... .... ....