Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii timu pasua kichwa kama wanawake, poleni sana wadau wa asenali. Alafu nimekuja tambua washabiki wengi wa asenali ni vimbaumbau, nafikiri stress inawala. Poleni. One day yes.
 
Tutatetereka mara ngapi?? Tumeshatetereka toka 2005 mpaka sasa. Ishu, wenger hawezi fukuzwa, ni yeye atumie busara zake mwenyewe kutoka, ila naye HAWEZI ondoka. Ni mbishi, kageuza timu yake sababu ya alivyoinufaisha kiuchumi.
mkuu amini kwamba hakuna marefu yasiyo na ncha,ni ukweli kwamba mwaka jana kama wenger asingechkua fa bas yeye mwenyewe ngeondoa emirates,iangalie video uone hali imefikia mbay kiasi gani kwa wenger na baadhi ya mafans wa arsenal wakimzomea baada ya kichapo cha juzi cha 3 kwa 2
to some extent inakera as a manager na inakuondolea hamu ya kufanya kazi
 
Last edited by a moderator:
unazidi kudhihirisha kwamba uwezo wako wa kufkria ni mdogo kwa kumuattack mtu badaa ya mada a msingi,by the way timu yangu ni man u na sio ya vichochoroni tumewafunga nje ndani na pia sibadili majina account yangu ni ileile Mndengereko and it will always be Mndengereko
 
Last edited by a moderator:
hapana mkuu hata kwa man u majeruhi wengi tu wastani ila match tatu majeruhi mmoja it weird, kwa kikosi chembamba sidhani tatizo ni kupaa players ambao wana sprit ya usindi all the time hawasubiri kuwa motivated mkifanikiwa juu ya hilo mtakuwa mko mahali pazuri
 
Hama timu, club sio mama wala baba.

....hahahahahahahahhhhaa!........ahame kama yule Ngongo?!!....
Mzee Le Professeur knows better.

COYG, leo tupo Ugiriki kukamilisha ratiba,
kisha FA Cup kutetea ubingwa wetu....

Msisahau pia sie ndiye washindi wa ngao ya jamii! :coffee:
......hawa Nzi, na wengineo hawamo Champions League, Europa, wala lile kombe
jingine la mbuzi, (sijui Carling Cup vile?.....)....na draw yao ya FA cup wanacheza na Chelsea...

2014/15 watabakia watizamaji tu.
 
Reactions: Nzi

CHELSEA Vs WATFORD...

FA Full draw:

Arsenal v Hull City

Southampton v Ipswich

Stoke v Wrexham

Charlton v Blackburn

Dover v Crystal Palace

AFC Wimbledon v Liverpool

Manchester City v Sheffield Wednesday

Aldershot/Rochdale v Nottingham Forest

West Brom v Gateshead

Blyth Spartans v Birmingham

Aston Villa v Blackpool

Rotherham v Bournemouth

Huddersfield v Reading

Oxford/Tranmere v Swansea

Cardiff v Colchester

Bolton v Wigan

Sunderland v Leeds

Burnley v Tottenham

Millwall v Bradford

Derby v Southport

Brentford v Brighton

Fulham v Wolves

Leicester v Newcastle

Scunthorpe/Worcester v Chesterfield

Everton v West Ham

Cambridge/Mansfield v Bury/Luton

Chelsea v Watford

Barnsley/Chester v Middlesbrough

QPR v Sheffield United

Accrington/Yeovil v Manchester United

Preston v Norwich

Doncaster v Bristol City
 


Chipukizi wa Gunners wamechukuliwa kwenda Turkey
Kukwaana na Gala ... .. .
 


Kikosi kilichoanza mtanange leo ... ... ... . ..




Luca Podolski baada ya kuweka chuma wavuni ... .. .




Ramsey akiweka chuma cha pili ... ...




High five's all the way ... .. .



Rambo is coming back ... ....




What a belter from Ramsey ... .. ..




Akishangilia goli la tatu . ... .... .
 
Reactions: Mbu
Second half underway with youngsters coming in ... ... .. . . COYG
 
Reactions: Mbu




Gedion Zelalem comes for Mathieu Flamini and Aaron Ramsey
makes way for Ainsley Maitland-Niles.
Full debut for both players at the age of 17.
 
Reactions: Mbu
Nasikia Mafarisayo ooops Mfarisayo, pamoja na Nzi wananyatia hii thread kusubiri Gunners wapoteze mchezo .. ... Thubutu! khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ngongo yeye kasepa na Prondo wake ... . .
 
Leo hata tushinde goli 5 haitaondoa machungu ya kipigo cha weekend iliyopita.

Hiyo ishapita, ni historia sasa hatuwezi ibadili, tuangalie mbele ingawa bado yatuuma. Sijui kwa nini kwenye ligi hatuchezagi kama dk 45 za mwanzo leo. Tumecheza poa sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…