Wakuu wa Gunners kwanza lazima mfahamu sera za club sio kulaumu tu bila kuzifahamu. Wachezaji wengi tu wanataka walipwe pesa nyingi Judas alitaka £12 million kwa mwaka moja ikabidi auzwe kama mmesikia Manure wanataka kumtema kutokana na mkataba wa kumlipa bonus ya £10 million kabla ya muda ... .. .
Gunners sio kisima cha kutumia and bust up hizi ni pesa ambazo watu wamefanyia kazi ndio sababu kiingilio kikubwa kutokana na madeni (Kujenga uwanja etc). Sio kwa sababu club ina pesa basi ianze kulipa mishahara mikubwa tu kwa sababu mchezaji anahitaji mshahara mkubwa No way, hata wewe kama una kampuni yako huwezi kuiongoza namna hiyo. Hivi sasa mishahara ya Gunners ni mikubwa imepitwa kidogo tu na Chelsick ambao pesa wanachota kwenye kisima cha unga.
Kama mafanikio ni kulipa pesa nyingi kwa wachezaji basi wasiotaka wahamia kwenye pesa za unga kule kwenye Cowshed au Etihad au Manure wanaodaiwa hata Jezi. Tumekuwa na majeruhi tu, ndio mchezo huo at the moment mambo ndio hivyo na mwezi May tutaanza kuongelea where we went wrong, huwezi ku-judge kwa hivi sasa kwa sababu hufahamu nini kitatokea huko mbeleni at the moment le prof haendi kokote whether you like it or not. COYG that is prudent Arsene.
JF saa zingine inafurahisha sana, wameshindwa kina Adrian et al ambao wamekuwa kwenye radio for years and the topic ni Wenger every day of the week na media machine ya UK kumng'oa Prof itakuwa hadithi za JF. Yes the team is not doing well at the moment but we aren't dead and buried. Thats why the media talks about Arsenal more than any other club in the UK.
Fujo kama hizi hawawezi kuzileta Emirates ... ... ... .
Bacary Sagna pia kumkatalia ombi lake la mshahara mkubwa ilikuwa kosa kubwa sana. Jamaa ni mchezaji mzuri sana, angalia sasa hivi tunavyotapatapa kwenye defence. Kuna mechi moja kama sikoei mwaka jana kulikuwa na majeruhi watatu au wane kwenye defence, Sagna akacheza kama centre half, alicheza vizuri sana. It is time to get rid of Wenger (before the end of this season)
Mwenzenu sina hata chakuongea! arsenal niliyoanza kuishabikia sio hii kabisa'Mzee Wenger katuharibia sana timu anauza best players ananunua average tena wanaotakiwa kujifunza!anauza nguzo za timu kwa kushindwa tu kuishawishi bodi iongeze mishahara kwa wahusika na hafanyi replacement inayoendana,ameshatutengenezea rekodi mbovu za timu kufungwa goli nyingi hovyohovyo na haonyeshi kulifanyia kazi hilo.jamani ee enough is enough arsenal ya Leo ni timu nyanya iliyopoteza kabisa sifa za kushindana,ushindi kwetu ni kama tunabahatisha tu sioni kitakacho nifanya niendelee kumkumbatia Wenger.enough is enough
hatari sana
Wacha1 kila mmoja ana uhuru wakutoa maoni yake na jinsi anavyofeel kuhusu wenger wote tumeanza ishabikia Arsenal toka kitambo sana tunafaham Wenger katutoa wapi but hiyo sio excuse ya kuendelea kuvumilia haya madudu ya sasa about 5th season consecutively tupo vilevile hata hao wengine wakipona hamna kitu timu yetu nyepesi sana, uwezo wetu ni wakufanana na timu ndogo kama Swansea na Leicester kiukweli huyu kocha anajipya kwasasa kama hatoachia ngazi abadili sera zake za usajili coz baada tu ya usajili unapata clear picture Arsenal itakuaje now days