Mkuu I rest my case. Nilifikiri nabadilishana mawazo na gooner mwenzangu. Baridi kali ya Alaska muda huu inaadhiri watu wengi wasiweze kufikiri rationally bali wageukie matusi na kejeli.
Fujo kama hizi hawawezi kuzileta Emirates ... ... ... .
BAK pole sn mkuu....! Leo London ni misiba tu!
Wacha uongo, hiyo dharau unasema kila mtu .... ..... hivi wewe na akili zako timamu unafikiri club kama Arsenal wanaweza kumlipa mtu £8 million a year ambaye hawezi ku-deliver? Nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri. FYI Prof analiliwa na timu lukuki tena kwa pesa zaidi ya hiyo, last week aliwapa challenge mbona hamkujitokeza? Huyo Mfarisayo timu yake ipo chini ya Mancs chacha hakohoi, nafasi yake imechukuliwa kule Manchester analialia tu kama kasuku sasa.
Tumia kila mbinu chafu ... ..
Wacha uongo, hiyo dharau unasema kila mtu .... ..... hivi wewe na akili zako timamu unafikiri club kama Arsenal wanaweza kumlipa mtu £8 million a year ambaye hawezi ku-deliver? Nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri. FYI Prof analiliwa na timu lukuki tena kwa pesa zaidi ya hiyo, last week aliwapa challenge mbona hamkujitokeza? Huyo Mfarisayo timu yake ipo chini ya Mancs chacha hakohoi, nafasi yake imechukuliwa kule Manchester analialia tu kama kasuku sasa.
Tumia kila mbinu chafu ... ..
Shukrani Mkuu Wenger anaharibu sana timu. Timu haina hata 1st eleven!!!! Sijui kwa nini leo Wellbeck hakuanza katika mechi muhimu kama hii ya leo? Kuna wachezaji wengine wazuri lakini mara nyingi hawatumii wanaishia kusugua bench wiki nenda wiki rudi.
Mkuu maamuzi ya Manager yanapaswa kuheshiwa! Huwezi jua alipanga hivyo kutokana na mbinu ya kukabiliana na Hiyo timu!
Mimi naamini bado Mko vzr tu ila ni matatizo ya Hapa na pale tu ndo yanaleta shida!
Nilisikia matangazo redioni.BAK pole sn mkuu....! Leo London ni misiba tu!
Mashabiki wengine bana lazima tufike kipindi tukubali uwezo wa Arsene Wenger kwa enzi hizi hamna kitu anakosa vitu vingi sana hata aina ya wachezaji yeye anaopenda waanzisha first eleven hawaeleweki mfano Olivier Giroud huyu jamaa uwa akianza uwa naamini uwanjani tunakua pungufu kwasababu ni mbovu kupindukia, pili kunawachezaji hawapi nafasi yakutosha kama Podolski, Campbell, rosiscky kabla ajaumia kulazimisha kuchezesha straika wawili ambao wanafanana kalibu kila kitu ni kuleta maafa kwenye timu kumuweka Giroud na welbeck pamoja ni upuuzi wote tulishuhudia jana Podolski alivobadili mchezo pia kocha ana maamuzi ya haraka jana mtu kama chamberlain ame under perform kwanini asingemtoa aingie Campbell mapema? Na tatizo la kupuuza usajiri ndo ivo leo defence kaumia koscieliny na debuchy tim inapotea, uwezo wetu umepungua kabisa kutokana na kocha mbovu asiyependa ushauri mi kipimo kama tuna timu bora uwa naangalia tukikutana na timu kubwa ambao ndo macompititor wetu kama Chelsea, Man u, man City, Liverpool, sasa kama tunashindwa kuifunga hata man utd katika ubovu wao unadhani tutamfunga nani? Tusubiri vipigo zaidi hata hiyo CL tunabana tu nafasi coz hata msimu huu ni yaleyale poor wenger
Khe khe klhe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie sasa watu wanamshambulia Prof ati ndio tatizo swala nawauliza nani anaweza kufanya kazi anayofanya, hakuna anayesema wote wanavizia media za UK waseme kisa wivu wa kike unawasumbua. Come on you Gunners. Si hao Chelsick wanaabudiwa mbona leo wamechezea kichapo khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ligi bado ndefu hii mimi wala sina shaka anayefikiri premier league inachukuliwa November shauri yake huyo ni 'ngeni.
Maamuzi ya Meneja ambayo mara nyingi yanakuwa na negative impact kwenye timu kwa maoni yangu hayastahili kuheshimiwa ndio maana unaona sauti za kumuondoa Wenger zinazidi kuongezeka kwa nguvu kubwa.
What do you mean? Haya hebu twambie kosa la Wenger? Ati kutetea ubovu hebu weka hapa ubovu wa Wenger? Legends ambao wanalipwa na redio mbao kila uchwao wanalilia waje Gunners kuchafua, (nyinyi ndio makuwadi wa kina Adrian et al) wapo ambao wanajulikana walevi wa kutupwa unafikiri watapewa fursa hao, mkuu Gunners inaongozwa sio kwa ubabaishaji, hakuna timu sasa hivi kwenye EPL ambayo isingependa kuwa na ubavu wa Gunners kuanzia facilities na training methods. Haya tupe ubovu wa Le prof.