Comrade Wacha...
Tukubali tukatae..Ukweli ni kwamba timu yetu sasa hivi ni ya hovyo kabisa...Wenger hana mbinu za ushindi tena....Siku hizi hata ushindi tunaouoata ni wa kubahatisha..Arsenal ya sasa hv sio Arsenal yetu ile ambayo mtu akiiona inacheza uwanjani anatarajia inacheza soka murua...
Arsenal kufungwa 3-0 na Stoke ndani ya dk 45 ni fedheha comrade...Ifike kipindi tukubali kwamba zama za Wenger zimeisha...Ningekuwa na uwezo ningemuondoa..Lakini kwa Arsenal yetu hii kumlalamikia Wenger ni sawa na hadithi ya Kilio cha samaki...
Inauma sana ingawa hakuna jinsi. ..
Together We stand. .