Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Comrade Wacha...

Tukubali tukatae..Ukweli ni kwamba timu yetu sasa hivi ni ya hovyo kabisa...Wenger hana mbinu za ushindi tena....Siku hizi hata ushindi tunaouoata ni wa kubahatisha..Arsenal ya sasa hv sio Arsenal yetu ile ambayo mtu akiiona inacheza uwanjani anatarajia inacheza soka murua...

Arsenal kufungwa 3-0 na Stoke ndani ya dk 45 ni fedheha comrade...Ifike kipindi tukubali kwamba zama za Wenger zimeisha...Ningekuwa na uwezo ningemuondoa..Lakini kwa Arsenal yetu hii kumlalamikia Wenger ni sawa na hadithi ya Kilio cha samaki...

Inauma sana ingawa hakuna jinsi. ..

Together We stand. .
 
Gunners are 4 goals down 70 min ..... .... .... the big story today .... ... Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Our season is over again. Kila tukipewa mwanya wa kurudi juu tunaboronga. Anyway ligi bado mbichi tunaweza kugombania top 3 or 2
 
Bora mfute machozi,go on Gunners you can do something in this minutes...
 
We're trying to come back slowly but surely, 20 minutes to go, 3-2
 
lol!!!! hahahahaha walaaaa Evelenk mie na wanasiasa mbali mbali kabisaaaa 🙂🙂

Hahahaha!! Kweli wewe ni Politician umemjibu kama vile CCM walivyokuwa wanaua hoja za Ukawa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…