Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jon Champion

"The final whistle is blown
arsenal win the match
3-0"
 
RRONDO usipotee Leo bhana Au usijifiche ukaja baada ya mpira...!

mkuu..naangalia mpira kibanda umiza,sina DSTV halafu jf naingia kwa kutumia pc sio simu. kwahio kuniona hapa ni mpaka mpira uishe labda niwe naangalia home CL kwa hisani ya TBC2 ndio nitakuwa jf kupiga porojo...kwahio usifikiri huwa nakimbia
 
utazunguka weee ila mwisho wa siku mpira na hio arsenal umeletewa na wakoloni,aidha kwa jahazi,meli,ndege,internet,tv ila ni product umeletewa na wakoloni
 
Jon Champion

"The final whistle is blown
arsenal win the match
3-0"

arsenal haijaifunga timu yoyote iliopo juu ya top 10 msimu huu.....katika mechi 14 zilizopita za mashindano yote arsenal kamfunga man utd mara moja tu! jiongeze.
 
arsenal haijaifunga timu yoyote iliopo juu ya top 10 msimu huu.....katika mechi 14 zilizopita za mashindano yote arsenal kamfunga man utd mara moja tu! jiongeze.

Manchester united imecheza ucl misimu 20 mfululizo jiongeze
 
Manchester united imecheza ucl misimu 20 mfululizo jiongeze

man utd imeshinda TWO UCL TITLES and ARSENAL has won ZERO UCL.....Arsenal has never beaten MAN UTD in UCL and man utd imeifunga arsenal at least mara mbili kwenye UCL. JITOE HUU MZIKI MNENE SHINDANA NA TOTTENHAM.
 
zilipendwa hizo
 
mkuu..naangalia mpira kibanda umiza,sina DSTV halafu jf naingia kwa kutumia pc sio simu. kwahio kuniona hapa ni mpaka mpira uishe labda niwe naangalia home CL kwa hisani ya TBC2 ndio nitakuwa jf kupiga porojo...kwahio usifikiri huwa nakimbia

Nimekusoma best...!
 
Ilikuwa ni Fergie, sio Manchester iliyotufanya wateja. Fergie alimtawala Wenger, nina uhakika tukifungwa leo ni bahati mbaya na pia itakuwa sababu ya kama kawaida ya Wenger kutokujua jinsi ya kupanga wachezaji wake. Yeye atawaambia tu nendeni mkacheze, mambo ya mikakati, to hell. Naona kama itakuwa droo, na kwa rekodi ya Wenger, itakuwa point moja ya muhimu.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu
Usiwe na wasiwasi Mkuu Ntuzu, Timu yote ya Gunners lazima ishuke hapa leo kufurahia kichapo dhidi ya shetani wekundu, jiandae kuugua leo.

#InGunnersWeTrust

Pamoja sn Mkuu BAK

Nawatakia Heri zote ktk mchezo wenu wa Leo Mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Leo Mkuu tukichapa mtu tatu bila, basi kibarua cha Van Girl kinaota manyasi, kikubwa katika mechi hii ya leo ni kuingia uwanjani kwa confidence ya kwamba YES WE CAN BEAT MANU na pia kuhakikisha tunapata at least goli mbili za haraka haraka kabla ya HT badala ya kusubiri yale magoli ya lala salama kwenye dakika za nyongeza. Umeuona uzi wetu Mkuu? Kama sikosei huu ndio utakuwa uzi wa kwanza hapa JF kuangaliwa na watu milioni moja, ule wa Kombe la dunia 2014 ulikaribia lakini haukuona ndani.

Pamoja sn Mkuu BAK

Nawatakia Heri zote ktk mchezo wenu wa Leo Mkuu.
 
BAK, najuwa umeisoma comment yangu ya utabiri pale juu lakini umeamuwa kunipotezea kwa kile nilichokisema.
Mkuu,najuwa labda upendi au ukupenda kile nilichotabiri pale juu…lakini huo ndiyo ukweli na utaamini maneno yangu baada ya mechi kwisha. All in all mie binafsi namuomba Mungu sana ili tushinde hii game leo…lakini ndiyo hivyo tena kwani timu yetu ikikutana na MAN U ni kama mbwa kwa chatu. PAMOJA DAIMA!!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…