Mmmmmmm!!!! Poa tu siye tunasema watashindana lakini hawatashindaaaaaa!!!
Mdudu Nzi anachungulia kwa mbali huku akiruka huku na kule kuzengea mzoga. Mdudu hakuna mzoga leo wafikishie ujumbe huu na #Mburukenge wote wa jukwaa hili mwanana.
Arsene Wenger is the best football manager ever…I think he should be given permanent contract i.e. until he dies, he should be Arsenal's manager….
Go Wenger, go Wenger….
Ahsante kwa kuamua kutonuna lol!!! Uende salama na ujue kesho nitawashangalia kiaina aina lol! ili mtoe draw ya 0-0 msituangushe katika kuwapunguzia speed hawa Chelsea.
Hapunguzwi Mtu kasi mkuu.....!
Hii game tumeipa umuhimu sn.
game draw mkuu ntuzu
Hakuna draw Leo mkuu.... Man Utd wanakufa vibaya Leo.....!
......mnh!?, hayaaa :coffee:
Tuungane mkuu...! Ubingwa unakuja London safari hii!
Loserfool majanga....! Manshity majanga.... Manure majanga...!
Kz kwenu Gunners na The blues....!
Tatizo lako Mnyantuzu unapenda kujitangazia ubingwa mapema halafu inapofika may unakuwa Mdogo kama Nukta.
BTW leo we piga tu hao Man Useless
ni heri tuishangilie man u leo ili mourinho asije kuivunja rekodi yetu ya unbeaten. ATID
Hapunguzwi Mtu kasi mkuu.....!
Hii game tumeipa umuhimu sn.
Sanchez kifaa,lakini hizo jezi za kubana siyo.
we remember thisDear goons,
Do you remember this?