Hili kombe kwetu sisi utusaidia kukuza na kuibua vipaji vya madogo, bahati mbaya tumetoka mapema. Ila mimi binafsi wala hainiumi hata kidogo, nawaonea tu huruma madogo hawatapata namba first eleven.
It is a derby day in Liverpool, ikifuatiwa na vigongo vingine vya Chelsea na Aston Villan na Arsenal na Tottenham. Nawaona #Wasagasumu na #Mburukenge akina Nzi, Bulldog, Belo na wengineo wameshatumbua mimacho yao kufuatilia hii siku nzima ya burudani. Enjoy the match.