Arsenal (The Gunners) | Special Thread



Alexis Sanchez strikes a beauty of a free-kick over the Southampton wall
and beyond the reach of goalkeeper Fraser Forster to put Arsenal ahead






The Chilean star celebrates scoring his fourth goal since arriving at Arsenal





hats off to Alexis ... . .









Sadio Mane was impressive on his Southampton debut, battling hard
as Southampton dominated the midfield against another lightweight Arsenal performance








One positive for Arsenal was that Abou Diaby managed 67 minutes
before being replaced by Santi Cazorla, and the Frenchman appeared injury free



Vijana walijitahidi lakini hawakufua dafu kwa SA ..... ....... mtanange ulikuwa mkali sana ingawa wacheza kadhaa hawakuwa kwenye viwango vyao ... .... ... next Totts EPL away


 
hii timu itatuua kwa shinikizo................

Kama hujafa kwa shinikizo la ukame wa vikombe kwa karibu muongo 1, sasa utakufaje kwa kutolewa kwenye kombe la mbuzi?

Don't be a chicken bana 😎😎😎
 
Poleni ndugu zangu.Mipango ya Wenger haina makosa.Mlinunua wachezaji wasiojitambua wakakutana na kocha asiejua kwenda na wakati kisha mashabiki wavumilivu na bodi kifuata upepo.Poleni sana mjawe na subira.
 
Reactions: Nzi
Vimburukenge haviishi maneno. Capital One cup kwa Gunners miaka yote ni kwa wachezaji wanaoibuka na kuwapa uchezaji wachezaji ambao hawapati mechi kwenye kikosi cha kwanza. Ni bahati mbaya hawaku-perform ili waendelee kujiimarisha kwenye next cup tie. Huwezi kupanga kikosi kile kile kila mechi ni lazima kuwapa uzoefu wachezaji wanaojitokeza. SA ni timu nzuri sana na wachezaji wenye vipaji wanaoibuka wanakwenda kujinoa pale.

Wameuza wachezaji talents kwa more than £90million na bado wapo vizuri kabisa 2nd in the EPL at the moment bila kusahau
Chambers ambaye tumemnyakua kutoka kwao, achilia mbali Ox na Theo.

Diaby anakuja kwenye match fitness ingawa bado hana stamina. Podi was a disappointment, Ospina need to be more careful, EPL sio lelemama, Rosicky muda wake unayoyoma. This is how Prof measure our team where we are. Wasiopenda wakajinyonge.
 
Namuonea huruma Arsenal

Ati unawaonea huruma
Gunners .. ... ... .. khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 

poleni kwa kipigo hivi mara ya mwisho Arsenal kubeba ndoo ya EPL ilikuwa mwaka gani?
 
mashabiki wa arsenal wanasifa ya kutokuwa na mashinikizo.lasivyo wangekufa wengi sana

Sisi ni mashabiki wa ukweli. Hivi jina lako huandikwa Mponjori au Mponjoli? Samahani. Ninaye rafiki, huandika lake Mponjoli, ye ni mwalafyale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…