Debuchy kaumia kaingia chambers!!sijui atakua kaumia sana maana ametolewa kwa machela uwanjani
Kituuuuu...!!
2-2
Sawa kaka, mi nimetulia tetete kkkkkJipe moyo,kisaikolojia tuna chance kubwa ya kushinda,if you know the power of a come back
wakuu Gunner hii ni habari ya kweli maana najua huyu 7up(Manure) hana jema mkuu Nyaluhusu87 hebu tuhakikishie.
2-2 man city wamerudisha
mumetangulia stendi wakati nauli yenyewe anayo dzecosiku nyiiiingi sanchez amesha ziweka kibindoni
duuh dadadeki ni dakika ya ngapi sasa mkuu.
Ngojeni Dzeco azime mshumaaKweli mkuu 2-2 dk ya 87 now
mumetangulia stendi wakati nauli yenyewe anayo dzeco