Pamoja sana mkuu Mtanange utakuwa mgumu kweli kweli huu, tukifanikiwa kuwakamata hawa jamaa katikati na kuhakikisha mipira haifiki kwa Kun basi ni wazi tutawafunga.
All in all lets wait for 90 mts.
Wakuu leo nitafuatilia mtanange kupitia JF So tukumbukane katika mpango mzima wa Updates maana nipo mbali na Tv. #COYG .
C.C Mbu, Viper, Wacha1, BAK et...al