Nyaluhusa87
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 1,303
- 262
Poleni sana mashabiki wa arsenal,ndo mpira jinsi ulivyo
Girouuuuuuuuuud 2-2
😡😡😡😡 mmejilamba midomo..
Ombeni muda uongezwe mrudishe zote, 2-1 nazo ni shida.
Di Maria yupo njiani
Hakuna washabiki kama wa Arsenal, wao hukaa mpaka mwisho wa dakika 90.
Hakuna washabiki kama wa Arsenal, wao hukaa mpaka mwisho wa dakika 90.