BAK my dear kumbe unapenda stress eh?? Kumbe wewe muumini wa the gunners? Kwa leo ntakusapot,kila la heri the gunners.
No offside kipa kavunja offside kwa kuwahi kutoka golini kufuata mpira/ Naismith!!! Vumilia maumivu!!!
kama una uchungu uwe kipa-ViolHuu ndio wakati wa Ramsey na Giroud kuthibitisha ubora wao.
Hatuwezi kuwa tunasawazisha halafu ndio tunakuja kushinda game.
COYG!
.....why not? Penye nia, itapatikana njia. They had their 45mins, lets see our 45mins...
#ArseneWenger knows better.
#MosKwito !
Ila wakuu Everton si timu ya kuidharau inacheza mpira.
Everton wametumia upande wa kushoto kupata magoli yao mawili na ndipo waliko wachezaji wawili Nacho Monreal na Mesut Ozil ambao wanacheza polepole sana.
Nililisema hili Mkuu, Everton wazuri sana na Lukaku kukataa kurudi Chelsea kumewapa motivation kubwa sana kama timu.